Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu. Katika kila Habari tunayoisoma katika Biblia nyuma yake kuna fundisho kubwa sana na la muhimu sana kulifahamu kwa kila Mkristo. Kila Habari imebeba ujumbe mkubwa sana nyuma yake, na bahati mbaya tunaishia kuona stori tu peke yake na hatuoni ..
Category : Biblia kwa kina
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu. Kama Mwamini uliyeokoka ukampa Yesu Kristo maisha yako ni muhimu sana kujua unamuwakilisha nani kwa watu wanaokutazama. Katika jamii inayokuzunguka wakikutazama wanamuona Kristo ndani yako au wanauona ulimwengu ndani yako?, ni jambo la kuwa makini sana na kuwa ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafari maneno ya uzima wetu. Maandiko yanasema Neno la Mungu ni taa na mwangaza wa njia zetu Zaburi 199:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu” Sasa katika ulimwengu wetu huu tunaoishi zipo njia za aina mbili tu ..
Shalom, nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika biblia kila habari tunayoisoma inafundhisho kubwa sana nyuma yake ambalo Yesu Kristo anatamani sana tulifahamu na tujifunze kupitia hao ili na sisi tusije tukarudia makosa yale yale yaliyofanywa na wao hapo mwanzo. Hivyo kila ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuna mambo mengi kabla hujampa Yesu Kristo maisha yako yalikuwa ni ya muhimu naya msingi sana. Kiasi kwamba uliona ni sehemu ya maisha yako. ulijua wakati mwingine ukaaminishwa/nakuamini kuwa hayo ndio yanayoweza kukusaidia. Mambo ambayo haikuwa rahisi kuyaacha na ulikuwa ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Watu wengi sana wanafikiri kujulikana na Mungu ni kwenda kanisani kila siku,kufanya matendo mazuri, kuomba kila siku, kuwaombea watu na watu kupona,kutoa mapepo,kunena kwa lugha,kuona maono na kusikia sauti ya Mungu nk. Mambo haya ni mazuri lakini hayakufanyi kujulikana sana na ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Baada ya kumwamini Yesu na kuokoka, kuna mambo sita Mungu huyafanya ili kuondoa ule uovu ndani ya mtu, Nayo ni.. 1. DAMU Kwakuwa sote tulizaliwa katika deni la dhambi, hukumu ya mauti ilikuwa juu ya Kila mmoja wetu (Rumi 6:23). Kwa kifo Cha Yesu Kristo ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Somo hili ni muhimu kwako wewe mshirika unayeudhuria kanisani kila jumapili na wewe pia muhudumu wa Madhabahuni ikiwa ni Shemasi,Mchungaji,Nabii muimbaji wa kwaya nk. Watu wengi leo hii wanakwenda kanisani na wanatumika madhabahuni wengine lakini hawatambui ni nani wanayemtumikia na anataka nini?. ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu. Ufunuo 3:19 “Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.” Kama Mkristo uliyeokolewa/kukombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo maana yake wewe umefanyika kuwa ni mwana wa Mungu. Yeye ni Baba kwako na ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ukianza kusoma kitabu cha Mathayo 24:3 utaona wanafunzi wake Yesu walikuwa wakimuuliza Bwana Yesu mambo hayo aliowaambia yatakuwa lini maana yake yatatokea kipindi gani au wakati gani?, lakini hatuoni wanaishia hapo tu wanamuuliza tena kuwa dalili ya kurudi kwake Bwana Yesu au ..