KUBALI KUMFUATA KRISTO KWELI ILI UWE BIBI ARUSI WAKE. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Kama wengi tunavyofahamu kuwa kanisa la Kristo linaitwa bibi arusi. Na tunajua kanisa sio jengo bali ni watu waliomwamini Yesu Kristo na kukubali kuingia gharama ya kumfuata..kama yeye mwenyewe alivyosema.. “…Mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ..
Category : Biblia kwa kina
FANYA KAZI YA BWANA BILA KUCHOKA. Kama we ni msomaji wa biblia..utakuwa unafahamu habari ya Ruthu, alikuwa ni mwanamke wa kimataifa aliyekubali kufuatana na Mungu wa Israeli..kama vile sisi tuliokuwa watu wa mataifa tukakubali kumfuata Mungu wa Israeli na tukafanyika wana wa Israeli kupitia neema ya Yesu Kristo, hivyo tukisoma.. huyu mwanamke alikuwa ni mwanamke ..
LAKINI HAKUJUA YA KUWA BWANA AMEMWACHA. Jina la Mwokozi YESU libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Kama ni msomaji wa biblia utakuwa unafahamu ile habari ya Samsoni na Delila, leo kuna jambo nataka tujifunze katika hiyo habari. Tukisoma hiyo habari..tunaona baada ya Delila kumsumbua Samsoni kila siku ili atake kujua siri za nguvu zake, hatimaye Samsoni alikuja ..
HATARI YA KIU BAADA KUKOSA MAJI YA UZIMA Shalom: Nakusalimu kwa jina kuu lipitalo majina yote..jina la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Na leo tutaangalia hatari ya kupatwa na kiu ya kukosa maji ya uzima, yapo maji ya kawaida na pia yapo maji ya uzima ambayo Bwana alisema “yeyote atakayekunywa maji ..
USIRUHUSU CHAWA WAINGIE NDANI YAKO Jina kuu la Bwana Yesu Kristo libarikiwe milele daima. Karibu tujifunze biblia. Kabla hatujaangalia chawa wanawakilisha nini katika roho, hebu kwanza tutazame chawa wa kawaida na tabia zao kwa ufupi. Kama wengi tunavyojua chawa ni mdudu ambaye hukaa au kuishi kwenye mwili, nywele au nguo za kiumbe mchafu. Chawa hutokana ..
TUSILEWE KWA MVINYO BALI TUJAZWE ROHO Neno la Mungu linasema katika.. Waefeso 5:18 “Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;“ Katika biblia, mtu ambaye amejazwa Roho Mtakatifu anaonekana kama mlevi, kwasababu ya tabia zake kufanana na tabia za walevi. Hebu tusome maandiko yafuatayo ili tulithibitishe hili. Matendo ya Mitume 2:1 Hata ilipotimia ..
Fahamu wajibu wako kama kuhani wa Mungu Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Katika agano jipya kila mtu amefanyika kuwa ni kuhani, na Yesu Kristo ndio kuhani wetu wetu mkuu kama jinsi maandiko yanavyo sema. 1 Petro 2:9-10 “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa ..
USIKUBALI KUPOTEZEWA MUDA Kati ya jambo ambalo unapaswa kuzingatia sana katika safari yako ya wokovu na hata katika maisha haya ni kitu kinachoitwa MUDA, ukweli ni kwamba muda ni kitu pekee ambacho kina thamani zaidi ya kila kitu..hapa duniani. Hakuna mtu aliyewahi kununua muda hata sekunde moja, haijalishi atakusanya fedha kutoka kwenye mabengi yote duniani, ..
Nakusalimu katika jina la Mkuu wa uzima Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuoka ni Mwanzo wa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu, lakini jambo la kusikitisha watu wengi wanaishia kuokoka peke yake tu. Na wanashindwa kuwa na mahusiano ya karibu na Bwana Yesu. “Shetani haogopi wokovu ulionao, Shetani anaogopa mahusiano yako wewe na ..
Usikubali kuvuliwa Mavazi na Ibilisi Shalom mtu wa Mungu.. jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe sana. Karibu tuongeze ufahamu katika Elimu ya ufalme wa Mungu. Maandiko yanasema katika.. Wakorintho 2: 9 ”Maana naliandika kwa sababu hii pia, ili nipate bayana kwenu kwamba mmekuwa wenye kutii katika mambo yote. [11] Shetani asije akapata kutushinda; KWA MAANA ..