TUMEANDALIWA NCHI NZURI YA KUMETA META Mtunzi wa tenzi namba 143, katika ule ubeti wa kwanza anaimba akisema.. “Nchi nzuri yametameta, Huonekana kule mbali, Naye Yesu hutuongoza. Tukafike na sisi huko”. Je! na wewe unaiona ile nchi nzuri ya kumeta meta mbele yako? Kuna nchi nzuri ambayo Bwana ametuandalia mbele, hiyo nchi ni nchi yenye ..
Category : Biblia kwa kina
SISI NI TAIFA TEULE LA MUNGU. 1 Petro 2:9-10 “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, TAIFA TAKATIFU, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; [10]ninyi mliokuwa kwanza si taifa, BALI SASA NI TAIFA LA MUNGU; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata ..
BALI ALIELEKEZA USO WAKE JANGWANI Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa uzima na Mfalme wa Wafalme libarkiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia, bila shaka utakuwa unaifahamu ile habari ya Balaamu na wana wa Israeli jangwani. Sasa pamoja na mengi mabaya ambayo hatupaswi kujifunza kwake, lipo jambo ..
Kaa mahali ambapo Mungu amekusudia uwepo!. Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mahali ambapo Mungu amepakusudia kwa kila mtoto wake kukaa na kukuzwa ni sehemu moja tu nayo inaitwa kanisa. Agenda au mkakati wa Mungu kukutengeneza na kukuimarisha kiroho lakini pamoja na kuwakomboa watu kutoka gizani na ..
Kwanini Yesu ni njia ya kweli na uzima na pasipo kupitia kwake hatuwezi kumwona Mungu. Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kwanza ni vizuri kufahamu kigezo cha kumuona Mungu ni UTAKATIFU, na ndio maana biblia inasema.. “Tafuteni kwa bidii kuwa na ..
Hauko hapa duniani kwa bahati mbaya Shalom nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Hakuna mwanadamu anaeishi hapa duniani kwa bahati mbaya yaani kama ajali tu akajikuta yupo la! Kila mmoja duniani hapa haijalishi alipatikana kwa njia gani lakini hayupo kwa bahati mbaya. Ikiwa umeokoka upo ndani ya Yesu Kristo basi ..
WIVU ANAOUTAKA BWANA Jina kuu tukufu la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa wafalme wa dunia libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu. Siku ya leo kwa neema za Bwana, tutajifunza wivu anaoutaka Bwana tuwe nayo, nikisema wivu anaoutaka Bwana maana yake kuna wivu asioutaka. Sasa kabla hatujafahamu wivu anaoutaka Bwana, hebu ..
Fahamu Maana halisi ya Kuabudu. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuabudu ni Neno ambalo limezoeleka kwa Wakristo wengi sana. Karibu Wakristo wote wanalisema neno hili. Wachungaji, waimbaji wa nyimbo za injili, nk lakini wengi haswa hawafahamu/hatufahamu maana halisi ya Neno hili “ Kuabudu ” ni neno ambalo ..
Lifanye Neno la Mungu kuwa tiba ndani ya roho yako na mwili wako. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Zaburi 107:20 “Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.” Neno la Mungu ni tiba kwa mwanadamu(maana aliumbwa kwa hilo yaani Neno la Mungu/Mungu mwenyewe) ni neno ambalo ..
JIWE LILILO HAI Jiwe lililo hai ni lipi? Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia…Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa njia zetu (Zab 119:105) Kwa kawaida hakuna jiwe lililo na uhai kwa asili yake … maana halina uhai ndani yake (non-living) ila lipo jiwe moja ambalo linatajwa katika biblia ambalo ..