Category : Maswali ya Biblia

Karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Maana ya kutahayari ni kuaibika yaani kufanya au kufanyiwa jambo au tendo ambalo mwishowe huwa ni aibu jambo hilo ni kama kutukanwa, n.k. Neno la Bwana linasema hivi 2Timotheo 2:15 “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia ..

Read more

Hori ni nini? Hori ni mahali palipotengwa kwa ajili ya ng’ ombe kulia chakula. Maneno haya tunasoma katika maandiko haya ya Mungu ili tupate maana zaidi. Luka 2:7 “akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni”. Pia maana nyingine ya hori ..

Read more

Maana halisi ya konzi Ni kipimo chenye ujazo wa kukaa mkono mmoja wa mwanadamu. Tujifunze zaidi katika maandiko haya yaliyo ainishwa hapa sawa sawa na maandiko ya Bwana yanavyosema. Mithali 30:4 “Ni nani aliyepanda mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo kwa makonzi yake? Ni nani aliyeyafunga maji ndani ya nguo yake? Ni nani ..

Read more

Karibu, tuyatafakari Maneno ya Uzima.. Ikiwa wewe ni mwanamke basi somo hili ni maalumu kwako kujifunza. Yapo mambo ambayo Bwana anayafanya juu yako, mengine ulikuwa ukimwomba lakini mengi ni Bwana mwenyewe anakutendea kwa wema wake, embu jiulize baada ya kutendewa muujiza huo ulifanya nini, wengi wanaishia kushukuru baada ya hapo wanaendelea na mambo yao, nataka ..

Read more

Marijani Ni vitu vya rangi ya samawi, au ni vitu vya thamani vilivyokuwepo katika ufalme wa Israeli. Tusome maandiko ili tujifunze zaidi. Ayubu 28:17 “Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi. 18 Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani”. Maombolezo 4:7 “Wakuu wake walikuwa ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe nakusalimu kupitia Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno hili Maavya ni neno au tunaweza kusema kwa lugha nyepesi kuwa ni cheo cha mtu, mfano mama, baba, mjomba nk.. kwahiyo maana halisi ya neno hili limaanisha ” mama mkwe” Neno hili tunalipata katika kitabu cha Mika 7:6 “Kwa maana ..

Read more