Category : Maswali ya Biblia

Jina la Bwana wetu yesu Kristo litukuzwe. Karibu mwana wa Mungu tujifunze neno la Mungu kwakuwa neno la Mungu ni Mungu mwenyewe. Nuhu alijenga safina kwa miaka mingapi? Kabla hatujajua hili swali hebu tujue maana ya neno safina. Safina ni nini? Ni chombo Cha majini kilichotumika katika ukombozi. Mfano kwa Nuhu hiki chombo kilitumika kumkomboa ..

Read more

JIBU.. Sikukuu ya kiyahudi ijulikanayo kama Pasaka ilianza rasmi kipindi cha wana wa Israeli wanatoka nchi ya misri, ndipo Mungu akawapa agizo la kupaka damu ya mwanakondoo  Katika miimo ya na nguzo za milango yao ili yule malaika atakayepita kuua wazaliwa wa kwanza asiwadhuru wazaliwa wao.. Hata malaika yule alipopopita na kuiona ile damu ya ..

Read more

Neno hili sulubu ndilo hutoa maana ya neno sulubisha au sulibisha.. Na maana halisi ya sulubisha ni kuadhibu kwa kuning’iniza kwenye msalaba au mti,nguzo ndefu iliyonyooka kwa kufungiwa hapo au kugongelewa na misumari miguuni na mikononi na huachwa hapo hapo kwa mateso makali itakayokupelekea Mpaka kifo.. Na  adhabu hizi zilitumika kipindi cha zamani kwenye Ufalme ..

Read more

Kitendo cha kumpa mtu uthamani anaostaili au hadhi ya juu iliyo yake inajulikana kama Heshima, kwasababu Kiuhalisia kila mwanadamu anapenda kushehimwa au kupata heshima, kwa upande wa mtu aliye mpokea Yesu ana sababu nyingi za kujua anaigawanya vipi heshima kulingana na makundi au watu husika, kwasababu kinyume cha kukosa heshima maana yake una kiburi(Mithali 15:33) ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima.. JIBU..Tusome Kutoka 20:5-6[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, [6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu. Tukiangalia katika mstari wa 5 neno linasema ‘hata kizazi cha ..

Read more

Karibu tujifunze Neno la Mungu… JIBU.. Madhabahu ni sehemu ambayo watu hupeleka sadaka zao…Tunaposoma agano la kale tunaona wana wa Israel walipewa agizo na Bwana la kumtolea sadaka, kulikuwa na sadaka za aina mbalimbali mfano sadaka za dhambi, sadaka za shukrani n.k Na kila sadaka ilitolewa kama sadaka ya kuteketezwa na hapo ndipo ilipolazimu madhabahu ..

Read more

Shalom Karibu tuyatafakari maandiko kwa pamoja. SWALI : JE! Kuna watu wengine Mungu aliwaumba kabla ya Adamu? Katika Mwanzo 27:1 Tunaona Mungu aliumba Mwanamke na mwanaume, Tena katika Mwanzo 2:7 tunaona anaumba mtu mwingine yaani Adamu.  Kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza kinazungumzia Uumbaji wa Mungu kwa Muhtasari yaani kwa ufupi sana, Lakini tunapoendelea kusoma ..

Read more