Shalom, Yapo mambo mengi Mwanadamu amekuwa akijiuliza kuhusiana na Mungu lakini mwisho wake ni kutokupata majibu Katika ukamilifu wote, mfano unajiuliza ikiwa Mungu anafahamu jambo ambalo litakwenda kutokea mbele yako na pengine litakusababishia madhara makubwa kwanini asiingilie kati na kunizuia badala yake ananiacha na kudhurika mwisho wake najikuta naenda kuzimu, ni kama Mungu anaonekana hana ..
Category : Maswali ya Biblia
Mithali 25:23[23]Upepo wa kusi huleta mvua;Vile vile asingiziaye huleta uso wa ghadhabu. Biblia imezungumzia jinsi upepo wa kusi unavyoweza kuleta mvua, na hasemi upepo huleta mvua, bali “upepo wa kusi” akimaanisha kila aina ya upepo ina tabia yake ya kipekee,mfano wa upepo wa kaskazi unaleta joto,na aina nyingine za pepo zina tabia zake… Hii inatufundisha ..
Marko 12:26 “Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, SURA YA KIJITI, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?” jibu: Sura ya kijiti iliyozungumziwa hapo si sura ya mti yaani umbile la mti, au sura ambayo ina pia mdomo ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Wapunga Pepo kama tunavyosoma katika maandiko Matendo ya Mitume 19:13. Biblia inataja ni wana wa Skewa, Sasa maana nyingine ya kupunga Pepo ni KUFUKUZA PEPO. Sasa zipo namna mbali mbali za kufukuza pepo/kupunga Pepo. Moja ni kupitia Watumishi wa Mungu na nyingine ni kutumia Waganga na ..
Mithali 16:33[33]Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo;Lakini hukumu zake zote ni za BWANA. JIBU.. Kipindi cha zamani kura zilipigwa kwa namna nyingi nyingi, na njia iliyoonekana rahisi na nyepesi ni hiyo, ambayo ni Kipande kidogo cha mfano wa shuka,kilitumiwa kukusanya kura walizopiga watu ambazo waliaziandika kwenye vibao vidogo vidogo au mawe na kisha huchanganywa,kukoroga na ..
1 Yohana 2:16-17[16]Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. [17]Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele. Kiburi cha uzima, kiburi hichi kinapatikana ndani ya mtu pale ambapo wingi wa mali ..
Mithali 28:8[8]Yeye azidishaye mali yake kwa riba na faida, Humkusanyia mtu awahurumiaye maskini.. Hapo biblia imemzungumzia mtu anakuyekusanya mali zake kwa faida na riba, ni yule mtu anayejipatia mali kwa njia ambazo hazina uhalali wowote na kuwadhulumu walio katika hali ya chini/ wanyonge… Katika biblia kipindi cha wana wa Israel,Mungu aliwapa agizo wasiwatoze riba pindi ..
JIBU.. Mithali 24:27[27]Tengeneza kazi yako huko nje, Jifanyizie kazi yako tayari shambani, Ukiisha, jenga nyumba yako.. Wakati wa zamani, Katika biblia kilimo kilikuwa na nafasi kubwa sana kwa watu,tunaweza kusema kilikuwa ni uti wa mgongo kama ilivyo leo katika nyakati zetu kwenye baadhi ya jamii mbalimbali… Na ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa kipindi hicho ..
Maana ya neno Azali ni “MILELE” yaani kitu kisichokuwa na mwanzo wala mwisho. Hivyo Yesu kuitwa Mwana wa Azali inamaanisha Yesu ni Mwana wa Mungu asiye kuwa na mwanzo wala mwisho. SWALI: Ni kweli Yesu ni Mwana wa Azali? Ndiyo ni kweli, Yesu ni Mwana wa Azali Kwa sababu yeye ni mwana wa Mungu maandiko ..
1 Petro 2:1-2[1]Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. [2]Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu; Neno kughoshi lina maana ya kugeuza, au kutia kitu dosari, na lengo lake ni kukifanya kitu kionekane kama kile cha kwanza,ndo mana ..