Category : Maswali ya Biblia

1 Wathesalonike 5:18 shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.  19 Msimzimishe Roho;  20 msitweze unabii; Neno kutweza maana yake ni ‘kupuuzia au kudharau’ jambo fulani. Hivyo hapo inaposema Msitweze unabii inamaanisha kuwa tusipuuzie unabii. Kumbuka Biblia ni kitabu cha kinabii, ambacho sio tu kinaeleza habari ya mambo ..

Read more

Wengi wetu tunaposikia neno ufisadi moja kwa moja akili zetu zinatupeleka kwenye vitendo vya ubadhilifu wa fedha za shirika fulani au za taifa kwa faida binafsi.. Lakini kibiblia Neno hili linatumika tofauti..linamaanisha kitendo cha ukahaba au umalaya uliopindukia ambao haujali hata jinsia umri au mazingira.. Hivyo popote pale ukutanapo na Neno hili ujue hiyo ndio ..

Read more

Je mtu anamkufuru vipi Roho Mtakatifu mpaka kupeleke asisamehewe kabisa ? Dhambi hii Bwana Yesu aliinena kutokana na tabia aliyoiona kwa wale mafarisayo na waandishi waliokuwa wamemzunguka. Walikuwa ni watu wanaoishi maisha ya unafki wakijua ukweli lakini wasiutende na kibaya zaidi waliutumia ujuzi wao kuwapotosha hata na wengine wasiufahamu ukweli..na ndio maana Bwana Yesu aliwakemea  ..

Read more