Category : Siku za Mwisho

Je! Watu watakaookolewa au watakaonyakuliwa ni wachache? Je! biblia inasemaje? kuhusu hili. Hebu tusome jibu la Bwana Yesu. Luka 13:22 “Naye alikuwa akipita katika miji na vijiji, akifundisha, katika safari yake kwenda Yerusalemu. [23]Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, [24]JITAHIDINI KUINGIA KATIKA MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba WENGI ..

Read more

  SIKU YA PARAPANDA KULIA NA WAFU KUFUFULIWA. 1Wakorintho 15:51 “Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, [52]kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; MAANA PARAPANDA ITALIA, NA WAFU WATAFUFULIWA, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika”. Siku moja inapopita, ndivyo tunavyoikaribia ile siku kuu ya kwenda mbinguni, siku ile ya ..

Read more

YEYE AJAYE ANAKUJA UPESI Waebrania 10:37 “Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, YEYE AJAYE ATAKUJA, wala hatakawia”. Angalia muda unavyokimbia, angalia majira yanavyobadilika, angalia maasi yanavyoongezeka kwa kasi.. Je! yote haya unajua ni ishara ya nini?..Si ya kitu kingine bali ya YEYE AJAYE!!.. Ndio! Yupo mmoja anayekuja! na yupo karibu sana.. huyo sio mwingine zaidi ..

Read more

UVUMILIVU WA MUNGU NI NAFASI YA KUOKOKA. Kuna watu wanasema mbona tangu enzi za mababu zetu tunasikia tu kuwa tunaishi katika siku za mwisho lakini ule mwisho mbona haufiki. Hakuna mwisho wa dunia ni habari za kutunga tu! Lakini biblia inasemaje? 2Petro 3:1 “Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha ..

Read more

  TAFUTA KUWEPO KATIKA UFUFUO WA KWANZA  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Biblia inasema ana heri mtu yule ambaye atakuwa na sehemu katika ufufuo wa kwanza, ikiwa na maana kuna ufufuo wa kwanza na ufufuo wa pili. Tunasoma.. Ufunuo wa Yohana 20:4 “Kisha nikaona viti vya enzi, ..

Read more

JE! UNATAMBUA WAKATI TULIOBAKIWA NAO? Shalom, Nakusalimu kwa jina lipitalo majina yote Mbinguni na duniani jina la YESU KRISTO wa Nazareti. Karibu tujikumbushe majira na nyakati tunayoishi. Ni muhimu sana kufahamu nyakati na majira tunayoishi. Kwa kawaida katika jambo lolote kufahamu wakati uliobakiwa nao, ni nyenzo kubwa ya kukusaidia kuamua mtindo wa maisha utakaoendana nao ..

Read more

WAFU WATAFUFULIWA Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo, Mfalme wetu, Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kabla hatujaendelea mbele, Naomba usome ushuhuda huu mfupi utakuwa msingi wa somo letu. “Ilikuwa ni tarehe 17/10/2025 majira ya alfajiri, Bwana alinipa huu ujumbe kupitia ndoto. Niliona miili ya watu wengi ikifufufuka kutoka ..

Read more

USIKUBALI KUTUMAINISHWA KWENYE DHAMBI Jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia.. Hatari kubwa iliyopo katika siku hizi za mwisho ni Kunyanyuka kwa jopo kubwa la Manabii wa Uongo ambao kazi yao ni kuwatumainisha watu waendelee kuishi katika dhambi na mwisho wa siku wakose mbingu… Sasa biblia inapotaja uwepo wa manabii wa uongo, haimaanishi tu manabii ..

Read more

USISUBIRI MPAKA UVUMILIVU WA MUNGU UKOME JUU YAKO. Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Nakukaribisha tulitafakari Neno la Mungu, ambalo ndio pekee lenye uwezo wa kuokoa roho za watu. Na leo nataka tuitafakari tena juu ya hukumu ya Mungu inayokuja ulimwenguni. Ndugu yangu usidhani ukiachwa sasa kwenye UNYAKUO utakuwa na nafasi ya pili mbele za ..

Read more