Category : Siku za Mwisho

Tukio hili litatokea hivi karibuni na kuishangaza dunia. Je! Unafahamu tukio kubwa na la kushangaza ambalo lipo mbioni kutokea? Kama hulifahamu, basi kuna hatari kubwa iko mbele yako…kwa maana itakujia ghafla kama vile mtego unasavyo. Siku zote gari ambalo linakimbia kwa spidi kubwa kwenye barabara ya vumbi, huwa kuna vumbi ambayo inaonekana kwa mbali ambayo ..

Read more

TENA HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBIRIWA KUWA USHUHUDA KWA MATAIFA YOTE. Mathayo 24:14 “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja”. Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa.. Ukitaka kujua kuwa mambo yote sasa yameshakamilika, kinachongojewa ni UNYAKUO tu, angalia hali ya mwitikio wa Injili sasa ..

Read more

HEKALU LA BWANA LIKO TAYARI Hekalu la kwanza kama tunavyofahamu lilitengenezwa na Mfalme Sulemani, Ni hekalu lililochukua kipindi cha miaka 7 mpaka kukamilika, Tunasoma.. 1 Wafalme 6:38 ”Hata katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, na sharti zake zote. Basi muda wa miaka ..

Read more

NA WANADAMU WAKAUNGUZWA MAUNGUZO MAKUBWA Ufunuo wa Yohana 16:8 “Na huyo wa nne akakimimina kitasa chake juu ya jua, nalo likapewa kuwaunguza wanadamu kwa moto. [9]Wanadamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu”.  Umewahi kuitafakari mwisho wa hii dunia itakuaje? Biblia imeweka ..

Read more

USILALE USINGIZI WAKATI HUU WA KUMNGOJEA BWANA Biblia inatusihii tusilale usingizi sisi tulio wana wa nuru..hasa katika wakati huu wa kungojea parapanda ya mwisho, huu ni wakati wa kukesha kweli Kweli. 1 Wathesalonike 5:1 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. [2]Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana ..

Read more

KANISA NA SIKU ZA HATARI Shalom: Jina kuu la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Kabla hatujaendelea mbele kujifunza ujumbe wa Roho Mtakatifu, hebu kwanza turudi shule, bila shaka umewahi kusoma soma la biolojia(sayansi), sasa kuna jambo nataka tujikumbushe linalohusiana ..

Read more

JIWEKENI TAYARI!! JIWEKENI TAYARI!! Mathayo 24:43-44 Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. [44]Kwa sababu hiyo ninyi nanyi JIWEKENI TAYARI; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja. Unaelewa maana ya kujiweka tayari? Ili kuelewa vizuri, hebu tafakari kuhusu wanariadha, wakati wamejipanga kwenye ..

Read more

TUPO KATIKA ILE SAA YA KUJARIBIWA. Ufunuo 3:10 “Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote, KUWAJARIBU WAKAAO JUU YA NCHI”. Kuna saa ya kuharibiwa inakuja huko mbeleni, ni wakati ambapo kila mtu kwa macho yake atakuwa anaona jinsi dunia inavyokwenda kuisha ndani ..

Read more

MAANA PARAPANDA ITALIA 1 Wakorintho 15:51-52 “Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, [52]kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; MAANA PARAPANDA ITALIA, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika”. Ni wazi kuwa kila mtu analijua hili, kwamba tunaishi kabisa ukingoni mwa nyakati na Yesu Kristo amekaribia kurudi ..

Read more