Archives : July-2024

Bwana Yesu asifiwe. Karibu tujifunze Biblia Kwanza kabisa kanisa ni hekalu au nyumba ya Mungu. Hivyo ni wazi kwamba hii ni ndoto njema itokayo kwa Mungu, Shetani hawezi sababisha ndoto ya namna hii. Ndoto hii Huweza kuleta maana mbili, Ikiwa Umeokoka na umesimama imara basi Mungu anakuonesha upo katika njia sahihi kabisa Ambayo ni kuwa ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima Swala la kuokoka peke yake halitoshi mbele za Mungu, kuna ngazi 7 ambazo ni lazima mtu wa Mungu azipande ili Mungu auone ukamilifu wako unapokuwa hapa duniani. Inatakiwa tuende mbele zaidi ya kuokoka na kubatizwa hatutakiwi tubaki hapo kwa sababu hatutakuwa na ushuhuda wowote na pengine tukafa kiroho. Mtume ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze maneno ya uzima?. Umewahi kujiuliza hili jambo na kutafakari, kauli hii aliyoizungumza Bwana Yesu? huenda huwa tunaiosoma tu mara kwa mara pasipo kuitafakari kwa kina…Leo tutakwenda kutazama kwa undani ni kwa namna gani watendakazi ni wachache. Mathayo 9:36-38” Na alipowaona makutano, aliwahurumia, kwa sababu walikuwa ..

Read more

Shalom Wapendwa. Karibu Tujifunze Maandiko matakatifu Kumekuwa na maswali mengi sana miongoni mwa wakristo {Mkristro ni mtu aliyegeuka na kudhamiria kwa gharama zozote kujitwika msalaba wake na kumfuata kristo Yesu}. Wanajikuta wana maswali mengi sana yakosayo majibu. Akisema nimempa Yesu maisha yangu na hakika nimepata furaha kubwa ya kiMungu ndani yangu, lakini vipi kuhusu nje! ..

Read more

Jina la Bwana wetu yesu Kristo litukuzwe. Karibu mwana wa Mungu tujifunze neno la Mungu kwakuwa neno la Mungu ni Mungu mwenyewe. Nuhu alijenga safina kwa miaka mingapi? Kabla hatujajua hili swali hebu tujue maana ya neno safina. Safina ni nini? Ni chombo Cha majini kilichotumika katika ukombozi. Mfano kwa Nuhu hiki chombo kilitumika kumkomboa ..

Read more

Shalom karibu katika kujifunza maneno ya Uzima Hali ya kuota unakemea mapepo au unashindana na nguvu za giza, inakuwa ina maanisha maana tatu kwanza ni unapitia kweli vita vya kiroho, pili Mungu anakuonesha uhalisia wa vita vya Rohoni, tatu ni kuoneshwa uwezo au Hali yako kiroho Tukisoma.. Waefeso 6:12-13 12″ Kwa maana kushindana kwetu sisi ..

Read more

JIBU.. Sikukuu ya kiyahudi ijulikanayo kama Pasaka ilianza rasmi kipindi cha wana wa Israeli wanatoka nchi ya misri, ndipo Mungu akawapa agizo la kupaka damu ya mwanakondoo  Katika miimo ya na nguzo za milango yao ili yule malaika atakayepita kuua wazaliwa wa kwanza asiwadhuru wazaliwa wao.. Hata malaika yule alipopopita na kuiona ile damu ya ..

Read more