Archives : December-2024

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Watu wengi wana bidii katika maombi wengine wanafunga kwa kipindi kirefu lakini mwisho wa siku hawaoni matokeo katika kile walichokuwa wanakiomba. Mwisho inapelekea kukata tamaa na kuona kama Mungu hawasikii ama yupo mbali na wakati mwingine wanahisi kuwa huenda wamekosea mahali fulani ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, karibu katika kujifunza tena Mastari huu umekuwa ukitafsriwa tofauti, imekuwa ilidhahaniwa kuwa mstarii huu unamaanisha Mtakatifu kuanguka katika dhambi, la sivyo kwa sababu ingekuwa Kila wakati mwenye haki ananguka katika dhambi ya wizi kisha anainuka, alafu tena baada ya mda anaanguka, badae tena anaanguka, ni wazi kuwa itamfanya kupoteza nguvu ya kumtumikia ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Kama Mkristo ni muhimu sana kutambua hatima yako ni nini katika Ukristo ulionao. Ukishindwa kutambua hatima yako ni nini utajikuta unakosa shabaha juu ya kile Mungu anachotaka kukiona kwako. Utaelekekeza matumaini na nguvu zako nyingi na muda wako mwingi ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, karibu tujifunze neno la Mungu Yesu Kristo alijulikana kwa sifa nyingi sana, mfano anajulikana kama simba wa yuda, maji ya uzima, mwamba imara nk… Hizi ndiyo tabia ambazo zilimtambulisha Yesu Kristo Likini Leo tutajifunza sifa yake moja, Yesu Kristo kwanini aitwe mwana-kondoo na si mwana- mbuzi au mwana mbuzi au mwana- beberu. ..

Read more

  Yeremia 1:11 Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Yeremia, waona nini? Nikasema, Naona UFITO WA MLOZI. 12 Ndipo BWANA akaniambia, UMEONA VEMA, Kwa maana ninaliangalia neno langu, ili nilitimize. Shalom mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia. Kabla hatujaenda ndani kuangalia ujumbe wa leo, tuangalie kwanza maana ya huo mti wa mlozi alioonyweshwa nabii Yeremia ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni jambo la muhimu sana kulitambua hili na kujitathimini. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kumcha Mungu na kumtumikia Mungu. Bahati mbaya sana watu wanasema wanamcha Mungu kumbe wanamtumikia Mungu tu wala hawamchi. Na siku ile Bwana Yesu hatawatambua kabisa. Tutaangalia mtu ..

Read more