Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. Kimiami kwa lugha ya sasa ni dirisha kubwa lililo katika ghorofa. Katika lugha/Kiswahili cha zamani ilimaniisha hivyo. Sasa ukisoma katika biblia ya kiingereza inaeleza wazi wazi kabisa maana yake ni nini!! Song of Solomon 2:9 [9]My beloved is like a gazelle or a young hart. Behold, he ..
Author : Paul Elias
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafari maneno ya uzima wetu. Maandiko yanasema Neno la Mungu ni taa na mwangaza wa njia zetu Zaburi 199:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu” Sasa katika ulimwengu wetu huu tunaoishi zipo njia za aina mbili tu ..
Shalom, nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika biblia kila habari tunayoisoma inafundhisho kubwa sana nyuma yake ambalo Yesu Kristo anatamani sana tulifahamu na tujifunze kupitia hao ili na sisi tusije tukarudia makosa yale yale yaliyofanywa na wao hapo mwanzo. Hivyo kila ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuna mambo mengi kabla hujampa Yesu Kristo maisha yako yalikuwa ni ya muhimu naya msingi sana. Kiasi kwamba uliona ni sehemu ya maisha yako. ulijua wakati mwingine ukaaminishwa/nakuamini kuwa hayo ndio yanayoweza kukusaidia. Mambo ambayo haikuwa rahisi kuyaacha na ulikuwa ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Watu wengi sana wanafikiri kujulikana na Mungu ni kwenda kanisani kila siku,kufanya matendo mazuri, kuomba kila siku, kuwaombea watu na watu kupona,kutoa mapepo,kunena kwa lugha,kuona maono na kusikia sauti ya Mungu nk. Mambo haya ni mazuri lakini hayakufanyi kujulikana sana na ..
Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Mungu wetu Hana Upendeleo (soma kumb 10:17, Rumi 2:11, Galatia 3:28), tusoma haya kwa pamoja.. Matendo ya Mitume 10:34-35 34″ Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo; 35 bali KATIKA KILA TAIFA MTU AMCHAYE na kutenda haki HUKUBALIWA NA YEYE.” Tangu Uumbaji ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Maombi ya kukemea au kufukuza mapepo hayamfungui mtu au kumweka huru moja kwa moja! Bali yanafukuza Yale mapepo kwa muda, na baadae watarudi kuangalia Hali ya maskani yao, kama kuna upenyo wa kurudi watarudi, tusome.. Mathayo 12: 43 “Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali ..
Nini maana ya kusali kwa kupayuka payuka? Shalom Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo kwa njia ya swali hili. Maandiko Matakatifu yanatwambia… Mhubiri 5:2 “….. kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo MANENO YAKO na yawe MACHACHE.” Sasa ..
Bwana wetu Yesu Kristo Asifiwe sana. Mpendwa mwenzetu anauliza JE ni sahihi kwenda kutubia dhambi zako kwa kiongozi wa dini mfano padre, kama ilivyoandikwa katika (Yohana 20:23) ? Jibu: kwanza turejee mstari husika.. Yohana 20:23 ” Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa.” Tuongezee.. 18 “Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Baada ya kumwamini Yesu na kuokoka, kuna mambo sita Mungu huyafanya ili kuondoa ule uovu ndani ya mtu, Nayo ni.. 1. DAMU Kwakuwa sote tulizaliwa katika deni la dhambi, hukumu ya mauti ilikuwa juu ya Kila mmoja wetu (Rumi 6:23). Kwa kifo Cha Yesu Kristo ..