Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Warumi 8:34 “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; TENA NDIYE ANAYETUOMBEA.” Ni dhahiri Bwana wetu Yesu Kristo ndiye Anayetuombea, soma Tena.. 1 Yohana 2:1 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende ..
Author : Rehema Jonathan
Shalom, karibu tujifunze Maneno maneno ya Uzima. Mithali 27:18 “ Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. “ Kuna Jumbe mbili za muhimu sana katika mstari huu navyo ni Autunzaye mtini atakula MATUNDA yake, pili ni Amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. 1. AUTUNZAYE MTINI ATAKULA MATUNDA YAKE Injili imeandikwa; si kwenye ..
Shalom, Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Yohana 12:35 ” Basi Yesu akawaambia, Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo. Enendeni maadamu mnayo nuru hiyo, giza lisije likawaweza; maana aendaye gizani hajui aendako.” Jibu: katika maisha yake hapa duniani Bwana Yesu alijilinganisha na Nuru ya Ulimwengu huu(Jua); na alisisitiza hili sana katika mafundisho yake, ..
Libarikiwe Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. 1 Wakorintho 2:2 “Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa.” Haya yalikuwa ni maneno ya waraka wa mtume Paulo kwa kanisa la Korintho. Kwa lugha rahisi zaidi tuyaweke hivi.. “Nilipokuja kwenu ninyi Wakorintho Nalikusudia kufahamu yale mnayoyajua kuhusu YESU KRISTO ambaye amesulibiwa! si ..
Mhubiri 10:15 “Kazi yao wapumbavu huwachosha kila mmoja, Maana hajui hata njia ya kuuendea mji.” Kama tunavyojua ni wazi kuwa Kila mtu anatamani kuishi mjini kuliko mashambani; Hii ni kwa sababu mjini kuna huduma zote kwa urahisi zaidi, pia ni mahali pa raha kiasi kwamba watu hufanya kazi zao mashambani ili wakaziuze mijini, kadhalika nakufaidi ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe sana. Swali: Tunasoma unabii juu ya masihi (katika Isaya 53:12) kwamba atagawiwa sehemu pamoja na Wakuu.. Sasa JE Wakuu hao ni akina nani? Na ni sehemu gani watagawiwa pamoja? Jibu: tusome.. Isaya 53:12 “Kwa hiyo nitamgawia sehemu PAMOJA NA WAKUU, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; ..

Swali: Neno la Mungu katika mhubiri 9:16 linasema hekima ya maskini haisikilizwi. JE na sisi tunapaswa kupuuzia mashauri au hekima za watu maskini? Kama si hivyo, basi Hilo andiko Lina maana Gani? Jibu: tusome tena.. Mhubiri 9:16 “Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.” Tunaposoma andiko hilo ..
Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Isaya 55:13 “Badala ya michongoma utamea MSUNOBARI, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia Bwana jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.” Misunobari ni miti Jamii ile ile na Mierezi. Na tofauti kati ya miti hii miwili ni kwamba misunobari huwa haiwi mirefu kama Mierezi, na ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Mithali 27:22 “Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.” Kwanza kabisa tujue maana ya kinu na mtwangio; hivi ni vyombo vinavyotumika kuponda au kusaga nafaka laini kuwa unga mfano mahindi na ngano. Au wakati mwingine mimea migumu kuwa laini mfano kisamvu hupondwa-pondwa ..
Bwana wetu Yesu na asifiwe. Awali ya yote kabisa, ili kupata maana sahihi ya ndoto yako na kuepuka udanganyifu wa tafsiri za ndoto, unapaswa ujue aidha ndoto yako inadondokea kundi Gani kati ya haya matatu 1. Ndoto zinazotokana na Mungu 2. Ndoto zinazotokana na Shetani 3. Ndoto zinazotokana na Mtu mwenyewe (Shughuli, kazi, mazingira yanayomzunguka ..