Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tupende kukupa tahadhari Mtu wa Mungu dhidi ya upotovu na mafundisho ya kuhusu tafsiri za ndoto. Ukikosa tafsiri sahihi za ndoto zako kimaandiko, wengi wamejikuta wakijitenga na imani na kuanza kuziangalia ndoto zao kama dira ya maisha yao kama ilivyotabiriwa na mtume Paulo (soma 1 timothy 4:1) ..
Author : Rehema Jonathan
Shalom. Karibu tujifunze Biblia JIBU: Kwa majibu turejee katika Maandiko Wafilipi 3:2 ” Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.” Hapa tunakutana na makundi matatu hatari ya kujihadhari nayo “Mbwa” pili “Watendao mabaya” tatu ” Wajikatao” Sasa tutalitazama kila kundi kati ya haya tukianza na makundi mawili ya mwisho [Kundi la Kwanza]”Watendao ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu Tuyatafakari pamoja Maandiko Suala la utafsiri wa ndoto limekuwa suala mtambuka sana. Na kwa bahati mbaya wengi wanakosa tafsiri za ndoto zao, hasa kulingana na Maandiko. Ni vyema kabla hujatafuta tafsiri ya ndoto yako uyajue makundi haya matatu ya ndoto Ambayo ni Ndoto zinazotokana na Mungu, zinazotokana ..
Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Karibu Tuyatafakari pamoja maneno ya Uzima. Mbwa kiroho huwakilisha vitu mbalimbali. Sasa inategemea sana na ndoto imekuja katika mazingira Gani na uzito upi (kujirudia rudia). Mbwa anaweza wakilisha mlinzi, adui, au kitu Najisi {kichafu}. Sasa tuchambue hizi ishara tatu kwa ufupi 1. MBWA KAMA MLINZI Sifa mojawapo ..
Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Karibu katika Maneno ya Uzima Unapokosa uelewa kuhusu ndoto, kwanza utashindwa kutambua kusudi la Mungu juu ya hiyo, pia imewafanya wengi kuwa watumwa wa ndoto zao wakihisi Kila ndoto ni ya kuzingatia na Ina tafsiri Fulani tofauti. Lakini si hivyo! Ukweli ni kwamba inabidi kwanza ujue makundi haya makuu ..
Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe Ndoto za aina hii zimekuwa zikiotwa na Watu wengi kwa namna tofauti tofauti, mfano wengine wanaota wanafanya mitihani migumu sana kwao Lakini wenzao Wana uwezo wa kujibu isipokuwa wao tu, au anafanya mtihani na hawakujiandaa, au kimefika kipindi Cha mitihani wanagundua hakuna walichokifanya siku zote n.k Namna nyingine ni ..
Unapokuwa tayari kwa hiyari yako kumkabidhi Kristo maisha yako ili akuokoe na kukusamehe dhambi zako basi huo ni uamuzi mzuri zaidi na wenye furaha zaidi maisha yako yote, kama ilivyokuwa kwa sisi wenzako katika kristo Yesu, ilikuwa hivyo hivyo. Kumbuka.. • kwa Yesu kuna Uzima wa milele, utulivu wa Nafsi na faraja kuu. Kama anavyosema ..
Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo, Bwana wetu. Unapoota umepotea iwe ni njia panda, mjini, shambani, katika riadha ama sehemu yoyote Ile usiyoijua, basi tambua hizo ni ndoto zilizobeba ujumbe kutoka kwa Mungu kwa makundi yote yaani walio okoka na hata wale wasio okoka. Biblia inasemaje kuhusu ndoto hii kwa ambae Hajaokoka Zaburi 37:18-20 18 ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya Uzima Ambayo ni taa ya miguu yetu. Kwanza kabisa mafuriko si sawa na Mvua! Mvua hustawisha mazao, husafisha lakini mafuriko hugharikisha au kuharibu. Hivyo unapoona unaota ndoto hii mara kadhaa kwa uzito usio wa kawaida ndani yako, basi ni dhahiri kuna mafuriko makubwa ya ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Maana ya kuota ukiwa unapigana kunaweza kubeba maana mbili aidha upo katika mashindano au upo katika vita! Tuziangalie maana hizi mbili kwa ufupi 1. KUWA KATIKA MASHINDANO Mashindano huja kwa Hali Ambayo watu wanapogombania kitu chenye THAMANI Fulani ambapo Kila mtu anataka akipate yeye, kunaweza kuwa thawabu, ..