Author : Rehema Jonathan

Bwana Yesu Kristo Asifiwe  Kuna makundi makuu matatu ya ndoto, Kwa ufupi kidogo tutayaangalia {1} Ndoto zinazotokana na Shughuli (muhubiri 5:3)  Hizi ni za mara kwa mara, kwa mfano mtu amefanya Shughuli Fulani kutwa nzima, Sasa anapolala anajikuta anaendelea kuifanya kazi Ile hata ndotoni. Aina hii hailetwi na Mungu Wala Shetani Bali na mwili. Hii ..

Read more

Shalom. Karibu tujifunze maneno ya Uzima Kumekuwa na udanganyifu mkubwa Leo kwamba ndoto zina tiba! Mpendwa mtu anayekuambia, kama umeota ndoto Fulani basi uende kwake akupe dawa labda umekutana na jini, umefanya uasherati na usiyemjua, umetumbukia shimoni n.k Huo ni ushirikina na ni Utapeli mkubwa!. Ndoto au maono hutoka ndani ya mtu hivyo ni mambo ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Kwanza kabisa  mara nyingi ndoto kama  hizi wakati mwingine huwa zinakuja kwa  namna  ya kupambana na Hali fulani ukitumia jina la Yesu Ambapo mwanzoni huwa na upinzani Fulani lakini baadaye inaachia yenyewe kadri uzidivyo kuomba Basi mpendwa huo ni ujumbe kutoka kwa Mungu Mfano, Mtu anaota anapambana ..

Read more

Jina la bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu Tuyatafakari Maandiko  Warumi 13:14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata KUWASHA TAMAA ZAKE.” Kuuangalia mwili kama ilivyoandikwa japo juu inamaanisha kuujali au kuutii sana mwili kupitiliza, Naam hatimae kuziwasha tamaa zake. Mtu anapofikia hatua hii kuwa ni teja wa mwili wake na huutii kwa kila ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe. Karibu tujifunze Biblia Kwanza kabisa kanisa ni hekalu au nyumba ya Mungu. Hivyo ni wazi kwamba hii ni ndoto njema itokayo kwa Mungu, Shetani hawezi sababisha ndoto ya namna hii. Ndoto hii Huweza kuleta maana mbili, Ikiwa Umeokoka na umesimama imara basi Mungu anakuonesha upo katika njia sahihi kabisa Ambayo ni kuwa ..

Read more

Shalom Wapendwa. Karibu Tujifunze Maandiko matakatifu Kumekuwa na maswali mengi sana miongoni mwa wakristo {Mkristro ni mtu aliyegeuka na kudhamiria kwa gharama zozote kujitwika msalaba wake na kumfuata kristo Yesu}. Wanajikuta wana maswali mengi sana yakosayo majibu. Akisema nimempa Yesu maisha yangu na hakika nimepata furaha kubwa ya kiMungu ndani yangu, lakini vipi kuhusu nje! ..

Read more

Jina la Bwana wetu yesu Kristo litukuzwe. Karibu mwana wa Mungu tujifunze neno la Mungu kwakuwa neno la Mungu ni Mungu mwenyewe. Nuhu alijenga safina kwa miaka mingapi? Kabla hatujajua hili swali hebu tujue maana ya neno safina. Safina ni nini? Ni chombo Cha majini kilichotumika katika ukombozi. Mfano kwa Nuhu hiki chombo kilitumika kumkomboa ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika maneno ya Uzima. Asilimia 95 ya ndoto tunazoota mara kwa mara au Kila siku zinatokana na sisi wenyewe au mawazo yetu wenyewe mfano shughuli za Kila siku( Daily activities ), Mawazo au mazingira yanayotuzunguka. Hivyo ndoto za Namna hii hazibebi Ujumbe wowote wa kiroho, yakupasa ..

Read more

Shalom karibu katika kujifunza maneno ya Uzima Hali ya kuota unakemea mapepo au unashindana na nguvu za giza, inakuwa ina maanisha maana tatu kwanza ni unapitia kweli vita vya kiroho, pili Mungu anakuonesha uhalisia wa vita vya Rohoni, tatu ni kuoneshwa uwezo au Hali yako kiroho Tukisoma.. Waefeso 6:12-13 12″ Kwa maana kushindana kwetu sisi ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo Lihimidiwe. Karibu kujifunza Maandiko_  “Mahali pa juu ” Hapa ni mahali palipoinuka ambapo watu walitengeneza madhabahu na kutoa dhabihu zao . Palikuwa ni popote penye mwinuko au mlima, Hii ilifanyika kuwa ni Heshima kwa Mungu kumfanyia madhabahu mahali palipoinuka kuashiria kuwa yeye yu juu ya yote.. Mtu wa kwanza ..

Read more