Author : Yonas Kisambu

Je! Umevunjiwa Kongwa lako? Mambo ya Walawi 26:13 Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta mtoke katika nchi ya Misri, ILI MSIWE WATUMWA WAO; NAMI NIMEIVUNJA MITI YA KONGWA LENU, nikawaendesha mwende sawasawa. Kongwa nini? Kongwa ni nira au kifungo cha shingoni ambacho kinatengenezwa kwa kutumia mti uliogawanyika sehemu mbili au mti uliochongwa unaoshikamanisha au kuunganisha ..

Read more

WATU WALIOGANDA JUU YA SIRA ZAO NI WATU GANI? (Sefania 1:12) Swali: Ni watu gani hao walioganda juu ya sira zao ambao tunawasoma katika Sefani 1:12 Jibu: Tusome Sefania 1:12 Kisha itakuwa wakati ule, nitauchunguza Yerusalemu kwa taa; NAMI NITAWAADHIBU WATU WALIOGANDA JUU YA SIRA ZAO; wasemao katika mioyo yao, BWANA hatatenda mema, wala hatatenda ..

Read more

NAMI NIMEJUA YA KWAMBA KWA UKAMILIFU WA MOYO WAKO UMEFANYA HIVI. Shalom Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Leo tutajifunza faida ya kuwa na moyo mkamilifu mbele za Mungu. Ni kweli unaweza ukawa umeokoka, lakini unaweza pia ukawa na moyo usio mkamilifu kwa Mungu, na  hatimaye uhusiano wako na Mungu ukawa mbaya. Moja ya faida ambayo ..

Read more

LIPO LA KUJIFUNZA KWA WALE WAZALISHA WA KIEBRANIA Masomo maalumu kwa waajiriwa/wafanyakazi Nakusalimu kwa jina la Yesu Kristo Mfalme wa Wafalme na Bwana wa Mabwana. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Ikiwa wewe ni mfanyakazi/mwajiriwa, basi leo utajifunza kitu kwa habari hii tunayoenda kuisoma ambayo inahusu wale wazalisha wa Kiebrania..na jambo hili ukilitendea kazi katika ..

Read more

MAKANISA SABA NA BIBI ARUSI WA KRISTO Jina la Bwana Yesu mkuu wa uzima libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze habari njema. Lakini kabla hatujaendelea mbele zaidi, nikuulize swali hili ndugu yangu, Je wewe ni bibi arusi wa Kristo? Nafahamu bila shaka utajibu ndiyo, lakini je unafahamu bibi arusi safi wa Kristo anatakiwa aweje? Huu ..

Read more

Ficha watoto wako ndani ya safina  Safina ni nini? Ni chombo cha majini kilichotumika mahususi kwa ukombozi. Ni mfano wa meli iliyotumika kuokoa watu/wanyama kutoka katika maangamizi fulani. Kwamfano katika biblia tunaona Nuhu aliagizwa atengeneze safina, ambayo ataingia yeye pamoja na familia yake, na wanyama wa nchi. Lakini pia wakati Musa anazaliwa, tunaona wazazi wake ..

Read more

Nini tunajifunza kwa Tamari Tamari ni mwanamke ambaye tunamsoma katika agano la kale, alikuwa ni mkwewe Yuda mwana wa Yakobo. Mwanzo 38:1 Ikawa wakati ule, Yuda akashuka kutoka kwa ndugu zake, akamfikia mtu Mwadulami, jina lake Hira. 2 Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake. 3 Naye akapata mimba, ..

Read more

NUNUA SHAMBA LAKO IWE URITHI KWA WATOTO WAKO NA MAHALI PA KUZIKIA. Je! Unalo shamba la kuzikia? Mwanzo 23:3 Akaondoka Ibrahimu kutoka mbele ya maiti wake, akasema na wazawa wa Hethi, akinena, 4 Mimi ni mgeni, ninatembea kwenu; nipeni mahali pa kuzikia kwenu, pawe pangu, nimzike maiti wangu atoke mbele yangu. 5 Wazawa wa Hethi ..

Read more

BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA Jina la Bwana YESU Mfalme wa Wafalme na Mkuu wa Uzima libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Siku ya leo tutajifunza kwa ufupi kuhusu siri ya uasi iliyojificha ndani ya kanisa, na tunapozungumzia siri ya uasi tunalenga ile ..

Read more

MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya pili) Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika mwendelezo wa somo letu sehemu ya pili. Leo kwa neema za Mungu tutajifunza madhara ya ulevi ndani ya kanisa. Tunaposema ulevi ndani ya kanisa..hatulengi ule ulevi wa nje/mwilini kama tulivyoona katika sehemu ya kwanza bali tunalenga ulevi wa rohoni. ..

Read more