Author : Yonas Kisambu

KILA MTU NA AMHESABU MWENZIWE KUWA BORA KULIKO NAFSI YAKE Wafilipi 2:3-5 “Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. [4]Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. [5]Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ..

Read more

Usijigeuze na kuvaa mavazi mengine. Katika biblia tunamsoma mfalme mmoja wa Israeli ambaye alijigeuza na kuvaa mavazi mengine..na huyu si mwingine zaidi ya Sauli, na lengo la kufanya hivyo ilikuwa ni yeye asijulikane na kule anakokwenda kwa yule mwanamke mchawi. Tunasoma.. 1 Samweli 28:8 Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na ..

Read more

SIMAMA KWA MIGUU YAKO. Ezekieli 2:1 “Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe. [2]Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami.” Upo umuhimu mkubwa wa wewe kusimama kwa miguu yako mwenyewe hasa katika zama hizi za uovu. Ninaposema kusimama mwenyewe kwa miguu yako..ninamaanisha kuwa na mahusiano yako binafsi na Mungu. Wapo ..

Read more

NA WANADAMU WAKAUNGUZWA MAUNGUZO MAKUBWA Ufunuo wa Yohana 16:8 “Na huyo wa nne akakimimina kitasa chake juu ya jua, nalo likapewa kuwaunguza wanadamu kwa moto. [9]Wanadamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu”.  Umewahi kuitafakari mwisho wa hii dunia itakuaje? Biblia imeweka ..

Read more

Ni mapambo gani ambayo pepo mchafu likiona kwenye nyumba iliyofagiwa anaenda kuchukua pepo wengine saba na kuja kukaa ndani ya nyumba hiyo. Swali: Bwana YESU alisema pepo anapomtoka mtu na baadaye akirudi na kukuta nyumba yake imefagiliwa na kupambwa huenda kuchukua pepo wengine saba,.. maaana yake ni nini kusafishwa na kupambwa?.. je mapepo wanapenda sehemu ..

Read more

HATARI YA KUVAA SURUALI KWA MWANAMKE Jina la Yesu Kristo Mfalme wa utukufu libarikiwe daima. Karibu tujifunze Biblia mwanga wa njia zetu. Mbali na kuwa vazi la suruali kwa mwanamke ni machukizo mbele za Mungu sawa sawa na kumbukumbu 22:5, Lakini leo nataka ufahamu hatari nyingine ya kuvaa suruali. Na hatari yenyewe ni kukaribisha maroho ..

Read more

Je! Umepatanishwa na adui zako? Mithali 16:7 “Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye. Kama tunavyofahamu kuwa adui wetu mkubwa tunayepambananae ni ibilisi pamoja na mapepo yake, adui wa pili ambaye anatuharibia mahusiano yetu na Mungu ni dhambi. Sasa tukilijua hilo..hatutapoteza muda kupambana na wanadamu wenzetu kwa kuwachukulia kama ni maadui. Ni ..

Read more

USISHIKAMANE NA BINTI ZA MATAIFA Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia kwa pamoja. Tukisoma biblia, kipindi Isaka anambariki Esau, baada ya kumbariki alimwagiza asitwae mke kati ya binti za Kanaani, bali aende huko Padan-aramu akajipatie mke katika nyumba ya Labani ndugu wa mama yake. Tunasoma.. Mwanzo 28:1 “Basi Isaka akamwita Yakobo, ..

Read more

Je! Neno la Mungu limefunuliwa kwako? 1 Samweli 3:7 “Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.” Kuna mambo huwezi kuyafahamu kama Neno la Mungu halijafunuliwa kwako, utaishia tu kubaki vile vile huku ukidhani umekamilika kumbe bado. Kwa mara ya kwanza Mungu alipoiumba hii dunia, kuna mambo ambayo hayakuweza ..

Read more

Kuokoka na kuzaliwa mara ya pili Jina kuu la Mfalme na Mwokozi YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tuongeze maarifa ya kufahamu biblia. Leo tutafahamu ukweli kati ya kuokoka na kuzaliwa mara ya pili, je ni kuokoka ndio kuzaliwa mara ya pili au kuzaliwa mara ya pili ndio kuokoka? sahihi ni ipi? Ni vizuri kuelewa na kufahamu ..

Read more