Author : Yonas Kisambu

Je vipofu hawana dhambi kulingana na Yohana 9:41. Tusome.. Yohana 9:41 “Yesu akawaambia, Kama mngekuwa vipofu, msingekuwa na dhambi; lakini sasa mwasema, Twaona; basi dhambi yenu inakaa”. Awali ya yote tufahamu kuwa vipofu ambao Bwana anawazungumzia hapo sio vipofu wa mwilini bali ni wa rohoni, maana yake ni watu wasioona, wasiojua mambo ya rohoni hao ..

Read more

NAYE AKAJINYOSHA AKALALA CHINI YA MRETEMU. Mretemu ni nini? Mretemu ni aina ya mti ujulikanao sasa kama “MTARAKWA”. Zipo jamii nyingi za mitarakwa kulingana na mahali na mahali. Mtarakwa unaomea katika bara la Afrika ni tofauti kimwonekano na ule unaomea katika bara la Ulaya, (kutokana na hali ya hewa). Lakini yote inamatawi yanayofanana na tabia ..

Read more

NA MIAKA ELFU NI KAMA SIKU MOJA 2 Petro 3:8 “Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja”. Kuna msemo ambao unajulikana na watu wengi kwamba ”Mungu hachelewi wala hawahi” maana yake wakati sisi tunaona amechelewa/amekawia kumbe yeye anaona amewahi sana, na ..

Read more

Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa. Zaburi 68:11 “Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;” Biblia inamwita mwanamke mwenye kutangaza habari njema kuwa ni “jeshi kubwa “ Nini biblia imeona kwa mwanamke hata kumfananisha na jeshi kubwa? Unajua unapozungumzia kuhusu jeshi kubwa una maana ya watu waliokuwa na mafunzo ya kujilinda na ..

Read more

Nini kinakutokea unapoenda kinyume na Nuru/Kweli. Nakusalimu katika jina lipitalo majina yote, jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Karibu tujifunze Neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu. Kama tunavyojua kazi mojawapo ya mwanga ni kutusaidia kuona hususani wakati wa usiku. Lakini, je umewahi kutembea njiani ukakutana na mwanga mkali ukakumulika? Nini kilikutokea? ..

Read more

TENA HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBIRIWA KUWA USHUHUDA KWA MATAIFA YOTE. Mathayo 24:14 “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja”. Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa.. Ukitaka kujua kuwa mambo yote sasa yameshakamilika, kinachongojewa ni UNYAKUO tu, angalia hali ya mwitikio wa Injili sasa ..

Read more

Je! Unawaza kumfanyia Mungu nini katika maisha yako? 1 Wafalme 8:17 “Basi ilikuwa moyoni mwake Daudi, baba yangu, kujenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wa Israeli. [18]Lakini BWANA akamwambia Daudi baba yangu, Kwa kuwa ilikuwa moyoni mwako kujenga nyumba kwa jina langu, ULIFANYA VEMA KUWAZA HIVI MOYONI MWAKO”. Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze ..

Read more

Maombi yanayompendeza Mungu. (Omba Mungu akupe moyo wa hekima zaidi ya mali) Kwanini tunapaswa kumuomba Mungu atupe hekima zaidi ya mali? Kwani! ni vibaya kuwa na mali? Kuwa na mali sio vibaya na tunahitaji, lakini pia tukikosa hekima, hata hiyo mali pia hatuwezi kutumia vizuri. Sulemani Mfalme wa Israeli mwana wa Daudi, Ni mtu aliyempendeza ..

Read more

HEKALU LA BWANA LIKO TAYARI Hekalu la kwanza kama tunavyofahamu lilitengenezwa na Mfalme Sulemani, Ni hekalu lililochukua kipindi cha miaka 7 mpaka kukamilika, Tunasoma.. 1 Wafalme 6:38 ”Hata katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, na sharti zake zote. Basi muda wa miaka ..

Read more

Mapambo yanachochea uzinzi. Je! Ni kweli kujipamba kwa kutumia mekaups, lipustiks, wanja, wigi, hereni, n.k ni urembo tu? Je! Biblia inasemaje kuhusu kujipamba? Biblia inasema kujipamba kwenu kusiwe kwa nje. Ahaa kumbe tunatakiwa kujipamba lakini sio kwa nje! sasa kama sio kwa nje, basi itakuwa kwa ndani. Maana yake wanawake wa kikirsto wanapaswa wajipambe kwa ..

Read more