MAMBO HAYO YAANZAPO KUTOKEA. Jina kuu tukufu..jina la Bwana Yesu Kristo Mfalme wa dunia yote na Mkuu wa Uzima libarikiwe. Karibu tuyatafakari maneno ya Uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Na leo kwa msaada wa Roho Mtakatifu nataka tutafakari kwa umakini kauli moja ambayo Bwana Yesu alisema kuhusu ujio wake wa mara ya pili. ..
Author : Yonas Kisambu
Ni nini tunajifunza kwa Shamgari? Shamgari alikuwa ni shujaa wa Israeli aliyetokea kipindi cha Waamuzi na kuwaokoa Israeli mikononi mwa Wafilisti kwa kuwapiga watu mia sita (600) kwa mkono wake mwenyewe akitumia tu fimbo ya kuswagia ng’ombe. Tusome habari yenyewe.. Waamuzi 3:31 “Tena baada yake huyo alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyepiga katika Wafilisti ..
USIVAE MAVAZI YA KIGENI Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya ..