Author : Yonas Kisambu

WAMENOA NDIMI ZAO KAMA NYOKA. Jina la Bwana YESU mkuu wa uzima libarikiwe milele. Karibu tujifunze Neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu (Zab.119:105) Moja ya silaha anayoitumia adui kumshambulia Mtu ni “ULIMI WA UOVU”.. Ukiona Maneno ya uongo kuhusu wewe, au ya vitisho au ya uchonganishi yanatembea huku na huko basi ..

Read more

ACHA KUZIBA MASIKIO YAKO Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima. Tunasoma kitabu cha Matendo ya Mitume 7:54-58, Neno la Mungu linasema.. “Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno. [55]Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu. [56]Akasema, Tazama! ..

Read more

KAMA MAMA YA MTU ALIVYO, NDIVYO ALIVYO BINTI YAKE. “Like mother, like daughter.” Unaelewa maana ya hii sentensi? Biblia inasema katika.. Ezekieli 16:44 “Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, KAMA MAMA YA MTU ALIVYO, NDIVYO ALIVYO BINTI YAKE”. Hii ikiwa na maana kuwa tabia za mama ni sawa na tabia ..

Read more

LITAZAME JIWE HILI Jina la Mkuu wa Uzima (YESU KRISTO, Mwamba wa Milele), libarikiwe. Biblia inasema lipo Jiwe moja la gharama sana, na gumu sana, na lililo hai, linalokua na kuzaa.. Kwa kawaida Mawe, hayaishi, ni vitu visivyo na uhai. Lakini biblia inasema lipo Jiwe moja la kipekee ambalo LINAISHI!!.. Hilo ni tofauti na mawe ..

Read more

MIMI NAMI NITACHEKA SIKU YA MSIBA WENU. Jina la Bwana Yesu libarikiwe daima, karibu tuendelee kuyatafakari maneno ya Mungu. Mambo mengi yanayoendelea hapa duniani yamebeba ufunuo wa mambo yalivyo rohoni. Kwa mfano hukuku wanazotoa wanadamu kwa wanadamu wenzao katika mahakama yao, ni ufunuo wa hukumu ambayo Mungu ameandaa kuwahukumu wanadamu, ambao kila mtu atahukumiwa kulingana ..

Read more

ENYI WAPUMBAVU, LINI MTAKAPOPATA AKILI? Zaburi 94:7 “Nao husema, BWANA haoni; Mungu wa Yakobo hafikiri. [8]Enyi wajinga miongoni mwa watu, fikirini; Enyi wapumbavu, lini mtakapopata akili? Mpumbavu ni nani kibiblia? Mpumbavu ni mtu asiye na akili, na hapa hatuzungumzii akili ya darasani au kuwa na maarifa ya kidunia, hapana, unaweza ukawa na degree zote au ukawa namba ..

Read more

JIHADHARI NA MAFUNDISHO YA YEZEBELI  Yezebeli ni nani? Yezebeli alikuwa ni mwanamke mwenye asili ya nchi ya Lebanoni, mahali pajulikanapo kama Sidoni (1Wafalme 16:31), karibu sana na mji wa Tarshishi, ule ambao Nabii Yona alienda kuhubiri, na alikuwa ni binti wa kifalme, hivyo alitokea katika familia tajiri. Mwanamke huyu hakuwa Mwisraeli, ila aliolewa na Mfalme ..

Read more

LANGO LI WAZI Mtunzi wa tenzi namba 121 aliimba kwa ufunuo wa Roho, akisema.. 1. Liko lango moja wazi, Ni lango la mbinguni; Na wote waingiao Watapata nafasi. Lango ndiye Yesu Bwana Wote waingie kwake, Lango! Lango La Mbinguni ni wazi. 2. Yesu ndiye lango hili, Hata sasa ni wazi, Kwa wakubwa na wadogo, Tajiri ..

Read more

MTUMISHI WANGU AITWAYE CHIPUKIZI Zekaria 3:8 “Sikiliza sasa, Ee Yoshua, kuhani mkuu, wewe na wenzako waketio mbele yako; maana hao ni watu walio ishara; kwa maana, tazama, ninamleta mtumishi wangu, aitwaye Chipukizi.” Huyu mtumishi aitwaye chipukizi ni nani? Huyu sio mwingine zaidi ya Mwokozi wetu YESU KRISTO, ndiye aliyetabiriwa kutokea kama chipukizi katika shina la ..

Read more

TUPO KATIKA ILE SAA YA KUHARIBIWA. Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO litukuzwe mpendwa, karibu tujifunze habari za uzima. Kama wewe ni msomi mzuri wa BIBLIA utakuwa unafahamu kuwa kuna saa ya kujaribiwa na kuharibiwa kwa huu ulimwengu. Bwana Yesu alisema mwenyewe.. Ufunuo 3:10 Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke ..

Read more