Author : Yonas Kisambu

SULIBISHA MWILI WAKO KWA BWANA. Wagalatia 5:24 “Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. [25]Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho”. Siku zote fahamu kuwa adui wa kwanza wa mtu ni MWILI wake na wala sio shetani. Shetani anautumia mwili wako kukushawishi utende dhambi. Hivyo ukiruhusu ..

Read more

BWANA, UUACHE MWAKA HUU NAO. Biblia inatufananisha sisi na kama miti izaayo matunda, hivyo kila mmoja wetu anapaswa azae matunda kwa Mungu, kadhalika biblia imetuonya pia mti usiozaa matunda utakatwa, kama tunavyosoma mfano Bwana wetu alioutoa katika Luka 13:6 “Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta ..

Read more

MWANZO WA MWAKA MPYA VAA SILAHA ZOTE ZA MUNGU Jina la Bwana YESU mkuu wa wafalme wa dunia (ufunuo1:5) na mkuu wa uzima libarikiwe daima. Heri ya mwaka mpya wa 2026, Karibu katika masomo yanayohusiana na mwanzo wa mwaka mpya..ili tuanze mwaka wetu na Bwana na tukapokee baraka tele za rohoni na mwilini. Ikiwa we ..

Read more

SIKU YA BWANA KULIPISA KISASI KWA ADUI ZAKE INAKUJA. Nahumu 1:2 “BWANA ni Mungu mwenye wivu, naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi, naye ni mwingi wa hasira; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake, huwawekea adui zake akiba ya hasira”. Adui za Bwana ni mashetani na wafuasi wake wote. Yaani marafiki wote wa dunia hii, ..

Read more

JE! UMETOLEWA MISRI? Jina la Mwokozi Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Neno la Mungu wetu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu, na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Safari ya wana wa Israeli kutoka Misri, kuelekea Kaanani, ni ufunuo kamili wa safari yetu ya Kristo kutuokoa katika dhambi na kutuingiza katika Neema ya wokovu. Musa anafananishwa ..

Read more

KUWA MTU WA KUTAFAKARI Mwanzo 24:63 Isaka akatoka ili KUTAFAKARI kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja. Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Siku ya leo tutaenda kujifunza jambo moja ambalo ni muhimu kulitendea kazi katika safari yetu ya Imani, Na jambo lenyewe ..

Read more

JE! BABA ALIYE MBINGUNI HATAZIDI SANA KUWAPA ROHO MTAKATIFU HAO WAMWOMBAO? Je! unaweka jitihada zako kumwomba Mungu nini? Shalom! Mwana/binti wa Mungu, karibu tuyachunguze maandiko, natumai leo utajifunza jambo jipya litakalotusaidia katika maisha yako ya maombi. Ikiwa maombi yako yameegemea sana mahitaji ya mwilini, mfano chakula, kazi, fedha, ndoa, elimu, n.k zaidi ya mambo ya ..

Read more

Usiache kupaza sauti yako kama tarumbeta. Kuna watu wanasema kuhubiri injili masokoni na vijiweni ni kukosa kazi ya kufanya na kwamba watu wanaofanya hivyo hawapo sawa kiakili au ni wavivu wa kufanya kazi. Lakini wewe ambaye umeitwa kufanya kazi hii ya Mungu, nataka nikutie moyo kwa Neno la Mungu ya kuwa usiache kupaza sauti yako ..

Read more

USIUIGE UBAYA 3Yohana 1:11 “Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. Kama wana wa Mungu hatupaswi kuiga mambo mabaya kwa watu wa kidunia. Hutupaswi kuiga uvaaji mbaya, mitindo ya kidunia, anasa, ulevi, uasherati, uhuni, na kanuni za ulimwengu huu. Warumi 12:1″Basi, ndugu zangu, nawasihi, ..

Read more

Mavazi ya kikahaba ni mavazi ya aina gani? Mithali 7:7 “Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili, [8]Akipita njiani karibu na pembe yake, Akiishika njia iendayo nyumbani kwake, [9]Wakati wa magharibi, wakati wa jioni, Usiku wa manane, gizani. [10]Na tazama, mwanamke akamkuta, ANA MAVAZI YA KIKAHABA, mwerevu wa moyo; [11]Ana kelele, na ukaidi; Miguu yake ..

Read more