TUJIFUNZE KUJISTIRI KWA MALAIKA WA MUNGU. Malaika watakatifu waliopo mbinguni, wanaompa Mungu utukufu usiku na mchana, ni WAALIMU wazuri kukufundisha sisi jinsi ipasavyo kujistiri mbele za Mungu. Malaika wa watakatifu, (yaani Maserafi na Makerubi) wanaompa Mungu sifa na utukufu mchana na usiku sehemu kubwa ya mbawa walizopewa wanazitumia kujisitiri.. na wanajisitiri kuanzia kichwani mpaka miguuni…wanaposimama ..
Author : Yonas Kisambu
MACHO YAKO YAMETIWA NURU? Biblia inasema katika… Waefeso 1:18 “macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, mjue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu jinsi ulivyo” Biblia inapozungumzia mioyo..haimaanishi hii mioyo iliyomo ndani ya vifua vyetu inayosukuma damu…hapana bali inazungumzia utu wa ndani ambao ni roho zetu. Hivyo ..
NAWE UTAWAAMBIA MANENO YANGU, KWAMBA WATASIKIA, AU KWAMBA HAWATAKI KUSIKIA; Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe. Upo umuhimu wa kuhubiri injili mahali popote na katika mazingira yoyote kwasababu ni agizo la Bwana mwenyewe bila kuangalia watu wanapokeaje; wanataka kusikia au hawataki kusikia. Wapo watu wenye mioyo migumu..ambao wanajiziba masikio yao wasitake kusikia habari za ..
Mavazi ya kujistiri ni yapi? Biblia inatufundisha tuvae mavazi ya kujistiri na kuwa na adabu nzuri. 1Timotheo 2:9 “Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; [10]bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo ..
Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Isaya 45:9 “Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Au kazi yako, Hana mikono? Udongo unaozungumziwa hapo ni sisi wanadamu, na Mungu ndiye mfinyazi/muumbaji. Yeremia 18:1-6 Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, [2]Ondoka, ..
MALAIKA WANNE WAZUIAO PEPO NNE ZA NCHI Majira yaliyopo mbele yetu, si rafiki kabisa ndugu yangu, bali ni majira ya vita. Fahamu kuwa hii dunia haitaisha katika amani..Vipo vita vikubwa na vibaya vinavyokuja mbele yetu… Hilo haliepukiki kwasababu biblia ilishatabiri. Leo hii tunasikia tetesi za vita katika mataifa makubwa, kila taifa linataka kuonyesha ubabe kwa ..
TEMBEA KATIKA WAKATI WA MUNGU. Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze maneno ya uzima. Neno la Mungu linasema.. “Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu”.(Mhubiri 3:1) Kila kitu Mungu ameiweka katika wakati wake, hivyo ni vizuri kufahamu wakati wa Mungu katika maisha yako ili usijilazimishe kutembea katika wakati wa ..
TOKA KATIKA GEREZA LA DHAMBI Siku zote mtu anayeishi katika dhambi (ambaye hajaokoka), yupo katika kifungo cha uovu. Matendo ya Mitume 8:23 “Kwa maana nakuona u katika uchungu kama nyongo, na tena u katika kifungo cha uovu”. Na kama tunavyojua wafungwa wanafungwa gerezani ili watumikie vifungo vyao. Na kila mtu ana kifungo chake kulingana kosa ..
Usijifiche chini ya maneno yasiyo kweli. Isaya 28:15-19 “Kwa sababu mmesema, Tumefanya agano na mauti, tumepatana na kuzimu; pigo lifurikalo litakapopita, halitatufikia sisi; kwa maana TUMEFANYA MANENO YA UONGO KUWA KIMBILIO LETU, TUMEJIFICHA CHINI YA MANENO YASIYO KWELI; [16]kwa ajili ya hayo Bwana, MUNGU, asema hivi, Tazama, naweka jiwe katika Sayuni, liwe msingi, jiwe lililojaribiwa, ..
JE! UNAO UZIMA WA MILELE? Siyo dhambi kuwa na nyumba nzuri, gari nzuri, biashara kubwa, elimu kubwa, mke/mume mzuri, watoto wazuri, na mafanikio yote ya hapa duniani, kwani biblia pia inakubaliana na mafanikio hayo.. 3Yohana 1:2,9 “Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa, na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo”. Na pia wapo ..