Author : Yonas Kisambu

IN ETERNITY THERE IS NO DECISION MAKING. Praise the name of our Lord Jesus Christ. I wish you could understand, that in eternity there is no decision making, in eternity there is no option, you cannot say that I choose to do this and this, I give my life to Jesus Christ now or I ..

Read more

THE SIN OF LYINGย  ๐๐ž๐ฅ๐จ๐ฏ๐ž๐, ๐—˜๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—Ÿ๐—ถ๐—ฒ ๐—œ๐˜€ ๐—ฎ ๐—ง๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐˜ ๐˜๐—ผ ๐—›๐—ฒ๐—น๐—น. Lying is alarmingly common; even among professing believers… yet Scripture is clear: ๐ฅ๐ฒ๐ข๐ง๐  ๐ข๐ฌ ๐ญ๐ก๐ž ๐ง๐š๐ญ๐ฎ๐ซ๐ž ๐จ๐Ÿ ๐’๐š๐ญ๐š๐ง, not the life of Christ. Jesus said.. โ€œI am the way, ๐ญ๐ก๐ž ๐ญ๐ซ๐ฎ๐ญ๐ก, and the lifeโ€ (John 14:6). While the devil โ€œ๐š๐›๐จ๐๐ž ๐ง๐จ๐ญ ๐ข๐ง ๐ญ๐ก๐ž ..

Read more

Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maneno ya uzima. Kabla hutujaendelea mbele hebu tafakari haya.. >Je! tumaini lako lipo wapi? >Je! uzima wako upo wapi? >Je! Hazina yako ipo wapi? >Je umejitajirisha kwa nani? Bila shaka majibu unayo mwenyewe.. Lakini hekima ya Mungu inatushaurije.. Luka 12:16-21 ..

Read more

NAJA KAMA MWIVI KESHENI Maandiko yanatufundisha kuwa Bwana YESU atakuja kama โ€œMwiviโ€.. Ufunuo 16:15 โ€œ(Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake)โ€ 1Wathesalonike 5:1-3 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. [2]Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja ..

Read more

BASI NINGOJENI ASEMA BWANA. Sefania 3:8 โ€œBasi ningojeni, asema Bwana, hata siku ile nitakapoondoka kuteka mateka; maana nimeazimia kuwakusanya mataifa, ili nizikutanishe falme, nipate kuwamwagia ghadhabu yangu; naam, ukali wote wa hasira yangu; kwa maana dunia yote itateketezwa kwa moto wa wivu wanguโ€. Majira yaliyopo mbele yetu, si rafiki kabisa ndugu yangu, Bwana ameshaihidi kuharibu ..

Read more

MUNGU SI MWEPESI WA HASIRA LAKINI NI MWINGI WA HASIRA Watu wengi wanamchukulia Mungu kama ni Mungu mwenye rehema, si mwepesi wa hasira, jambo ambalo ni kweli kabisa lakini wanasahau pia kuwa huyu huyu Mungu ni mwingi wa hasira pia, japokuwa si mwepesi wa kukasirika. Tunasoma kitabu cha Nahumu, biblia inasema.. Nahumu 1:2 “BWANA ni ..

Read more

Funga kutafuta njia iliyonyooka. Ezra 8:21 “Ndipo nikaamuru kufunga, hapo penye mto Ahava, ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu, na kutafuta kwake njia iliyonyoka, kwa ajili yetu sisi wenyewe, na kwa ajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote”. Jina la Bwana YESU litukuzwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu. leo kwa neema za ..

Read more

HUYU THEOFILO MTUKUFU NI NANI? Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu. Leo tutajifunza juu ya mtu mmoja aliyeitwa Theofilo, ambaye biblia haijaeleza habari zake kwa urefu lakini amehusika pakubwa sana katika kuieneza injili. Luka 1:3 “nimeona ..

Read more

JE UMEPOKEA UWEZO WA KUFANYIKA MTOTO WA MUNGU? Nakusalimu katika jina kuu la Bwana Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Biblia inasema katika.. Yohana 1:12 “Bali wote waliompokea aliwapa UWEZO wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; [13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ..

Read more

FUMBUA MACHO YAKO UONE Biblia ilitabiri kuwa katika siku za mwisho watakuja watu wenye kudhihaki wakisema kurudi kwa Bwana YESU ni habari za kutunga tu, wanasema dunia hii itakuwepo milele, hakuna hukumu; lakini watu hawa biblia inasema “wanafumba macho yao wasione” wasione kuwa hii dunia iliwahi kuangamizwa kwa gharika na sasa imewekewa akiba kuangamizwa kwa ..

Read more