Author : Yonas Kisambu

  NIMEPEWA MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Umewahi kusoma na kutafakari mara mbili mbili kauli hii aliyoisema Bwana Yesu muda mfupi kabla hajapaa kwenda mbinguni. Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake ambao ndio sisi leo, akawaambia.. “Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, NIMEPEWA MAMLAKA YOTE ..

Read more

KUWA MKRISTO KWELI KWELI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Kuna kuwa mkristo, lakini pia kuna kuwa mkristo kweli kweli. Bwana Yesu alipomuona Nathanieli alimtambua kuwa ni mwisraeli kweli kweli, maana yake kulikuwa na waisraeli wengi, lakini katikati ya hao waisraeli kuna waisraeli kweli kweli ambao ndio hao wakina Nathanieli. Yohana 1:45 “Filipo akamwona Nathanaeli, ..

Read more

RUPTURE!! RUPTURE!!Β  The rupture is the next event the church is waiting for. 𝙄𝙏 𝙒𝙄𝙇𝙇 π™ƒπ˜Όπ™‹π™‹π™€π™‰ 𝙄𝙉 𝘼 π™ˆπ™Šπ™ˆπ™€π™‰π™.. 𝙄𝙏 π™ƒπ˜Όπ™Ž π™‰π™Š π™Žπ™€π˜Ύπ™Šπ™‰π˜Ώ π˜½π˜Όπ™π˜Ύπ™ƒ. I am listening every moment, For the mighty trumpent soundΒ What a time we’ll have together. When the saints will leave the ground! All our toiling will be over!, All our sorrow ..

Read more

KAMA MIMI NIISHIVYO ASEMA BWANA.Karibu tuyatafakari maandiko matakatifu. Kwa wale wasomaji wa biblia, mara nyingi sana tumekutana na maneno kama haya “Kama mimi niishivyo, Asema Bwana.” Au mahali pengine imeandikwa “Kama Bwana aishivyo”. Nini maana ya maneno haya? ‘‘Kama mimi niishivyo, ASEMA BWANA” Neno hili mara kadhaa limeonekana wakati BWANA akitoa hukumu Fulani kwa mtu ..

Read more

JE NI ALAMA GANI UMETIWA? Shalom. Karibu tujifunze biblia. Ezekieli 9:3-4 Na huo utukufu wa Bwana wa Israeli ulikuwa umepanda juu kutoka kwa kerubi, ambaye ulikuwa juu yake, mpaka kizingiti cha nyumba; akamwita mtu yule aliyekuwa amevaa bafta, mwenye kidau cha wino cha mwandishi kiunoni. [4]BWANA akamwambia, Pita kati ya mji, kati ya Yerusalemu, UKATIE ..

Read more

ALAMA KWA WATEULE WA MUNGU KABLA YA MAANGAMIZI. Jina kuu la BWANA YESU mkuu wa uzima libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Kabla maangamizi hayajaja Mungu huwa anawatenga waovu na wema katikati ya watu wake kwa kuwatia ALAMA. Katika biblia tunasoma, kuna wakati ulifika maovu yalizidi sana katika nyumba ya Israeli ndipo Mungu akamuonyesha Ezekieli maono ya ..

Read more

YULE TAJIRI NAYE AKAFA, AKAZIKWA. Luka 16:22 “Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. YULE TAJIRI NAYE AKAFA, AKAZIKWA”. Nilikuwa natafakari kwanini biblia imetumia hayo maneno “AKAFA, AKAZIKWA“, tofauti na yule maskini ambaye alipokufa “AKACHUKULIWA NA MALAIKA.” Ndugu, fahamu kuwa ukifa na dhambi usifikiri kuwa malaika watakatifu watakuchukua kwa furaha…ukifa unazikwa ..

Read more

KUTOA KAMA SEHEMU YA UTUMISHI. Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maandiko. Sisi kama wakristo, ili tuweze kukua kutoka utukufu hadi utukufu, na imani hadi imani, hatuna budi kuyatafakari maneno ya Mungu sana kwa kadiri tuwezavyo. Leo tutajifunza umuhimu wa kumtumikia Mungu kwa njia ya matoleo. Watu wengi wamekariri ..

Read more

ONDOKA !!! Kuna dhambi zingine huwezi ukaviacha mpaka uamue kuchukua hatua ya kuondoka katika hiyo dhambi kwa miguu yako kabisa. Kwa mfano huwezi kusema umetubu na bado ukaendelea kukaa hapo kijiweni na wahuni, au ukaendelea kukaa hapo kilabuni, au ukaendelea kukaa na huyo mwanaume/mwanamke unayezini naye,…hapo haijalishi utaomba toba na kusalishwa sala ya toba mara ..

Read more

MAOMBI YA KUTANGAZA Shalom. Karibu tujifunze somo la Maombi. Maombi yamegawanyika katika sehemu kuu tatu 1) kushukuru 2) kuwasilisha mahitaji kwa Mungu 3) Kutangaza. Leo tutajifunza kuhusu Maombi ya KUTANGAZA. Maombi ya kutangaza ni yapi? Haya ni maombi ya kimamlaka…Maombi haya yanakazi moja tu nayo ni KUTUEPUSHA NA MAJARIBU. Sasa kabla ya kuingia kujifunza juu ..

Read more