NA HAO WALIO WA KRISTO YESU WAMEUSULIBISHA MWILI PAMOJA NA TAMAA ZAKE. Wagalatia 5:24 “Na hao walio wa Kristo Yesu WAMEUSULIBISHA MWILI pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. [25]Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho. Kusulubisha mwili ni kufanyaje? Kwanza tufahamu maana ya kusulibisha? Kusulubisha ni kuadhibisha kwa kuning’iniza kwenye mti wa msalaba, ..
Author : Yonas Kisambu
FUATILIA NDOTO HII, UTAJIFUNZA KITU. (Ndoto ya dada Marry kutoka Kenya) Bwana Yesu asifiwe mtumishi, naomba nisaidie kupata tafsiri ya hii njozi maana imenijia kwa uzito sana: Nilikuwa nasoma kitabu cha ufunuo…nilipomaliza nikaenda kupumzika, Nikaota nipo natembea njiani…mimi na mama mmoja, yeye alikuwa akipita katika njia pana (barabaraba) na katika njia hiyo kulikuwa na maji ..
HATUNA NIA NYINGINE. Wagalatia 5:10 “Nina matumaini kwenu katika Bwana, ya kwamba hamtakuwa na nia ya namna nyingine. Lakini yeye anayewafadhaisha atachukua hukumu yake, awaye yote”. Nia yetu ni kumtafuta Bwana kwa mioyo yetu yote, na hatumtafuti kwasababu tunataka mambo yetu yaende sawa, hatumtafuti kwasababu tunataka tubarikiwe.. tuwe na maisha mazuri, hatuendi kanisani ili tupate ..
BARAKA NA LAANA ZINAZOAMBATANA NA WATOTO WA MUNGU Marko 9.41 “Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, KWA KUWA NINYI NI WATU WA KRISTO, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake. 42 Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, AFADHALI AFUNGIWE JIWE LA KUSAGIA SHINGONI MWAKE, NA KUTUPWA BAHARINI”. Bwana Yesu alisema Ishara ..
MAKUTANO MENGI WALIPOKUWA WAKIFUATANA NAYE, ALIGEUKA AKAWAAMBIA.. Luka 14:25 “Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia, [26]Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake waume na wake; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. [27]Mtu ye yote asiyeuchukua msalaba wake na ..
TANGU SASA MTU ASINITAABISHE, KWA MAANA NINACHUKUA MWILINI MWANGU CHAPA ZAKE YESU. Ninakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu karibu tujifunze neno la Mungu chakula cha roho zetu. Wagalatia 6:17 “Tangu sasa mtu asinitaabishe; kwa maana ninachukua MWILINI MWANGU chapa zake Yesu”. Chapa za Yesu ni zipi? Kwanza ni vizuri kufahamu maana ya chapa, ..
UNAONA FAHARI JUU YA NINI?? Wagalatia 6:14 “Lakini mimi, hasha, nisione fahari juu ya kitu cho chote ILA MSALABA WA BWANA WETU YESU KRISTO, ambao kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu”. Wapo watu wanaona fahari juu ya elimu zao, nyumba zao nzuri, magari yao ya kifahari, waume zao, wake zao wazuri, watoto ..
TULICHAGULIWA TANGU AWALI Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze Maneno ya Mungu, kwa Neema zake, leo tutajifunza somo linalosema, Kuchaguliwa kabla ya kuwekwa misingi ya Ulimwengu. Waefeso 1:5-14 “Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe KWA NJIA YA YESU KRISTO, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake. [6]Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika ..
AINA MBILI ZA HEKIMA Nakusalimu katika jina kuu la Bwana Yesu Kristo, karibu tujifunze maandiko matakatifu. Na leo tutajifunza aina mbili za hekima katika biblia, Neno la Mungu linasema katika.. Yakobo 3:13-18 N’nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima. [14]Lakini, mkiwa na wivu ..
MWE NA HASIRA ILA MSITENDE DHAMBI. Shalom Mtu wa Mungu, karibu tujifunza Maandiko..Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa ufupi juu ya HASIRA YA KIMUNGU…Tusome Mstari ufuatao kabla ya kuendelea ambao utatusaidia kuelewa kiini cha somo letu. Waefeso 4:26-27 “Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka; [27]wala msimpe Ibilisi ..