Vitu vitatu ambavyo unapaswa kufanya mara tu baada ya kuokoka ili ufikilie utakatifu. Nakusalimu katika jina la Mwokozi YESU KRISTO Mfalme wa wafalme na Bwana wa Mabwana. Kama kijana, mzee na mtu yoyote uliyemwamini Yesu Kristo na kukubali kumfuata, vipo vitu vitatu ambavyo ni lazima uvifanye ili uweze kufikilia utakatifu. Kwanini utakatifu? Ni kwasababu pasipo ..
Author : Yonas Kisambu
Nini maana ya Mhubiri 11:3b Mhubiri 11:3 Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; NA MTI UKIANGUKA KUELEKEA KUSINI, AU KASKAZINI, PAANGUKAPO ULE MTI, PAPO HAPO UTALALA. Swali nini maana ya maneno haya, mti ukianguka kuelekea kusini au kaskazini Paangukapo ule mti papo hapo utalala? Kwanza kabla hatujapata maana ya maneno hayo, hebu kwanza tuone mti unawakilisha ..
WIVU ANAOUTAKA BWANA Jina kuu tukufu la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa wafalme wa dunia libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu. Siku ya leo kwa neema za Bwana, tutajifunza wivu anaoutaka Bwana tuwe nayo, nikisema wivu anaoutaka Bwana maana yake kuna wivu asioutaka. Sasa kabla hatujafahamu wivu anaoutaka Bwana, hebu ..
ENDELEA MBELE USITAZAME NYUMA Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya Mungu. Na siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kuendelea mbele katika safari ya imani. Bila shaka safari ya imani ni safari ndefu yenye milima na mabonde kama ilivyo kwa safari zingine za haya maisha. Lakini pamoja na hayo, ipo ..
BASI, JIANGALIENI MIOYO YENU ISIJE IKALEMEWA Luka 21:36 Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo; Shalom, Jina kuu la mwokozi wetu Yesu libarikiwe daima. Je! Umewahi kuitafakari kwa utulivu hii kauli ya Bwana aliposema ”jiangalieni mioyo yenu isije ikalemewa”, yapo ..
NA TUMWEKE MTU MMOJA AWE AKIDA, TUKARUDI MISRI Jina la Mwokozi Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Neno la Mungu wetu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu, na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Safari ya wana wa Israeli ni funzo tosha, kwetu sisi tunaosafiri kutoka katika ulimwengu kwenda Kaanani yetu (yaani mbinguni). Hivyo tukijifunza kwa undani, ..
JIWE LILILO HAI Jiwe lililo hai ni lipi? Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia…Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa njia zetu (Zab 119:105) Kwa kawaida hakuna jiwe lililo na uhai kwa asili yake … maana halina uhai ndani yake (non-living) ila lipo jiwe moja ambalo linatajwa katika biblia ambalo ..
Je! umeweka kweli nia kumtafuta Bwana. Kama we ni msomaji wa biblia utafahamu kuwa kuna kipindi Israeli iligawanyika na kuwa na pande mbili yaani upande wa kaskazini ambako kulikuwepo na yale makabila 10 chini ya Yeroboamu na lile la Yuda na Benjamini ambalo lilikuwepo upande wa kusini chini ya Rehoboamu, leo hatutazungumzia kwa urefu kuhusu ..
Shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo tu! Ayubu 20:4 Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, [5]Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu? Jambo ambalo watu wengi huwa hawajui ni kwamba uhai ni zawadi toka kwa Mungu, ..
ILE SAFINA IKAELEA JUU YA USO WA MAJI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Umewahi kutafakari ni kwanini ile safina ya Nuhu ambayo ilikuwa imebeba wanyama mbali mbali haikuzama japokuwa walikuwepo wanyama wazito kama tembo, twiga, ngamia n.k, ? Maandiko yanasema ile safina ikaelea juu ya uso wa maji. ..