Category : Maswali ya Biblia

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Ili kupata taarifa sahihi, tufuatilie habari nzima kuanzia juu kidogo.. 1Wakorintho 14:26 “Basi, ndugu, imekuwaje? Mkutanapo pamoja, kila mmoja ana zaburi, ana fundisho, ana ufunuo, ana lugha, ana tafsiri. Mambo yote na yatendeke kwa kusudi la kujenga. 27 Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, ..

Read more

Shalom. Hakuna chakula kilichokatazwa, kwa maana kinachomnajisi mtu, si kinachoingia bali kinachotoka. Pia tuangalie nyaraka mbalimbali za mitume zimasemaje kuhusu hili.. 1Timotheo 4:1-5 inasema.. “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao ..

Read more

Shalom. Swali hili halikuanza kuwatatiza watu Leo, hata Zamani hizo kipindi Cha Yesu Kristo duniani liliulizwa pia. Tusome.. Luka 13:23 ″Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze. 25 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi ..

Read more

  Kuna maswali ambayo yamekuwa  yanaulizwa kuhusu zaka, haya ni maswali 8 ambayo yanaulizwa sana 1.Nani anayetakiwa kutoa fungu la kumi? 2.Fungu la kumi linatolewa katika mtaji au faida? 3.Zawadi tunazopokea tunapaswa kuzitolea fungu la kumi? 4.Fedha ya mkopo inatakuwa kutolewa fungu la kumi? 5.Ikiwa mshahara wangu ni milioni moja lakini kuna makato ya serikali ..

Read more

  Je sadaka ya moyo ipoje? Tusome, Walawi 22:21 “Na mtu awaye yote atakayemtolea BWANA dhabihu katika sadaka za amani, ili kuondoa nadhiri, au SADAKA YA MOYO WA KUPENDA, katika ng’ombe, au katika kondoo, atakuwa mkamilifu, apate kukubaliwa; pasiwe na kilema ndani yake cho chote”. Sadaka ya moyo wa kupenda ni sadaka iliyotolewa na wana ..

Read more