Category : Maswali ya Biblia

Shalom, karibu tutafakari Maneno ya Uzima wetu… Neema tafsiri halisi ni upendeleo usiokuwa na sababu yoyote, au kupata kukubaliwa kusikostaili, na Kiuhalisia kuna upendeleo ulio na sababu na usio na sababu, mfano hai wa upendeleo ulio na sababu ni wa sisi wanadamu,ambao tunapendana na kujaliana walio wetu, wale tunaowafahamu na wenye faida kwetu,.. Si rahisi ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu  tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu. Ukisoma vyema hapo utaona maandiko yameorodhesha mambo matatu hapo!,Sasa ili tunafahamu ni yapi hebu tusome kwa kuanzia juu kidogo. Wagalatia 2:3 “Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa. 4  BALI KWA AJILI YA NDUGU ZA UONGO ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze.. JIBU, Tusome.. Kutoka 5:14-16[14]Na wanyapara wa wana wa Israeli, ambao wasimamizi wa Farao wamewaweka juu yao, wakapigwa, wakiambiwa, Kwa nini hamkutimiza kazi yenu jana na leo; kwa kufanya matofali kama hapo kwanza? [15]Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutendea hivi, sisi watumwa wako? [16]Watumwa wako hawapewi majani, ..

Read more

Bwana Yesu kristo Asifiwe, SWALI: Nini maana ya Kumtia Mtu au Malaika “KASIRANI” kama ilivyotumika katika (Kutoka 23:21) Kwa majibu sahihi turejee biblia katika Kutoka 23:20-22 [20] Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea. [21] Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; WALA MSIMTIE KASIRANI; maana, hatawasamehe ..

Read more

Shalom karibu katika kujifunza Maandiko matakatifu Wagalatia 6:1 “Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.” JIBU: Hapa Maandiko yanatupa mwongozo Namna sahihi ya kuwarejesha upya wale wapendwa Walioanguka dhambini. Biblia inatuasa tuwarudishe kwa upole ..

Read more

JIBU.. Maandiko hayajatupa uwazi wa moja kwa moja wa kuelewa kama waliokoka au hawakuokoka pindi walipofahamu uovu walioufanya.. Tukiliangalia hili neno Kuokoka tunakuja kuliona kwenye kipindi chetu cha Agano jipya likiwa na maana ya kukombolewa kwenye uharibifu wa hukumu ya Mungu iliyoikumbuka ulimwengu mzima kwasababu ya dhambi kupitia kifo cha Mwokozi Yesu Kristo anayetuokoa sisi ..

Read more

Jina la Bwana Yesu kristo Lihimidiwe. SWALI: JE! _Bisi ni Nini kama ilivyotumika katika kitabu Cha Ruthu 2:14 na Walawi 23:14_ JIBU: Bisi ni kama tunavyofahamu kwa mazingira yetu kwamba ni yale Mahindi yanayokaangwa na kufutuka, na kuwa na mwonekano mwingine wenye weupe weupe hatimaye kuliwa. Maarufu zaidi kwa jina la kigeni “popcorn” Lakini kwa ..

Read more