Category : Maswali ya Biblia

SAYUNI, katika Biblia tunangalia mwanzoni kabisa ambapo Daudi  alipokwenda kuuteka Mji wa Yerusalemu  na akafanikiwa .. Eneo lile alililoliteka liliitwa ngome ya SAYUNI.  Tutaona katika kitabu cha (2Samweli 5:7). Sasa cha kufahamu ni kwamba  katika maandiko Sayuni  imetumika nakutambulika kama mji wa Daudi au Mji wa Mungu(YERUSALEMU)..    Pia mahali pa mlima ambako hekalu la MUNGU  ..

Read more

Tusome Mithali 30:24-28 [24]Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana. [25]Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa hari. [26]Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. [27]Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi. [28]Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme. Mjusi ..

Read more

JIBU.. Kuna utofauti kati ya haya Maneno mawili, Utasi na Utasa.. tasa ni ile hali ya mtu kutokuwa na uwezo wa kuzaa au kuzalisha,kwa mwanamke au mwanaume lakini utasi ni hali ya ulimi kuwa mzito, wengi wenye changamoto ya utasi wanakuwa hawawezi kuongea Katika ufanisi au kuyatamka Maneno vizuri, na huwa tatizo la utasi mtu ..

Read more

JIBU.. Hapana, Bwana Wetu Yesu Kristo hakuwa na mahusiano na mwanamke yeyote na wala hakuingia Katika ndoa (kuoa).. Makusudi yake makubwa ya kuzaliwa na kuja kuishi duniani ni ili ayafanye na kuyakamilisha mapenzi ya baba yake ambayo ni kumkomboa Mwanadamu aliyepotea , na Katika yote hakuwahi kufanya dhambi hata moja wala kuingia kwenye tamaa.. Yohana ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Nguo za magunia katika maandiko ni nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya mbuzi. Ambazo zilikuwa zikitumika kuwakilisha jambo fulani katika agano la Kale. Ni tafauti na inavyoweza kudhaniwa labda ni mifuko hii ya salfeti. Inayotumika kuhifadhia nafaka kama maharage,mahindi nk sivyo. Sasa zilikuwa zinavaliwa kuashiria jambo fulani ..

Read more

Nardo ni moja ya mmea mdogo sana unaojulikana kama”Nardostarchy” mmea wa aina hii huwa inatoa maua madogo madogo yenye rangi ya pinki Pia mmea huu huwa na vijitunda vyeusi ambavyo ndio chanzo cha mafuta ya aina ya nardo ambayo hutumika kutengeneza madawa asilia pamoja na marhamu safi yaani kwasasa huitwa Perfume (marashi/manukato)ambayo ndio huwa na ..

Read more

JIBU,Tusome… Ufunuo 1:13 “na katikati ya vile vinara nikaona mtu mfano wa Mwanadamu, amevaa vazi lililofika miguuni, na kufungwa MSHIPI WA DHAHABU MATITINI”. Tafsiri ya moja kwa moja ya Neno mshipi ni mkanda,soma Mathayo 3:4, na Matendo 21:11, na Zaburi 18:32, utaliona jambo hilo, pia mkanda huo unaweza ukawa umetengenezwa kwa namna yoyote ya malighafi, ..

Read more

Uga ni sakafu ambayo hutumika kwa ajili ya kupepetea ngano, au kwa lugha nyingine kupuria ngano, na sehemu hii ilitumikia kipindi cha zamani kama tunavyojua zamani hakukuwa na mashine kama wakati huu hivyo ilikuwa baada tu ya nafaka kutolewa shambani ikiwa pamoja na majani yake moja kwa moja ilipelekwa kwenye hiyo sakafu kwa ajili ya ..

Read more