JIBU… Herode, mtu mashuhuri katika Biblia, alitoa hotuba ambapo watu walimsifu kwa hotuba yenye hoja nzuri, iliyojaa sifa na utukufu wake mwenyewe. Hata hivyo, watu walipaza sauti, “Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.” Na yeye Herode akilijua hilo, kuwa yeye ni mwanadamu tu, akazipokea sifa zile. Kilichofuata baada ya pale ni malaika wa ..
Category : Maswali ya Biblia
Kafiri ni mtu ambaye haamini imani fulani. Makafiri ni wale ambao hawaamini kwamba Kristo alikuja na kufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu, hawa hawana tofauti sana na wapagani. Mtu yeyote asiyeshika njia za Bwana Yesu Kristo(neema) na kumkana, mtu huyo ni kafiri… Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu ..
Kutokana na vifungu hivi je Mungu anajuta? Hesabu 23:19[19]Mungu si mtu, aseme uongo;Wala si mwanadamu, ajute;Iwapo amesema, hatalitenda?Iwapo amenena, hatalifikiliza? 1 Samweli 15:11[11]Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha. Ukitazama vifungu hivyo ni kama vinakinzana, utaona hapo kwenye kitabu cha hesabu kinasema ..
Uasherati. Ni kitendo cha kufanya tendo la ndoa kwa makubaliano ya hiari kwa watu wawili mwanamke na mwanamume ingali bado hawajaowana. Neno hili alilizungumza Bwana wetu Yesu Kristo. Mathayo 5:32[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya UASHERATI, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.” Hivyo ikiwa umewahi kufanya ngono ..
Upako ni Uweza wa kipekee wa Roho Mtakatifu ambao huwa huingia ndani ya mtu, ili kumsaidia kufanya jambo fulani kirahisi zaidi, au anakuwa na uwezo wa kutenda jambo ambalo hapo kabla alikuwa haliwezi kulifanya kwa urahisi. Zamani kibiblia, mtu kabla hajatawadhwa kuwa mfalme, ilikiwa ni lazima itie mafuta, ikiwa na ishara kwamba, mafutwa yaliyomwagwa ndani ..
Katika agano la kale dhabihu ni Aina ya sadaka zilizotolewa Kwa Bwana zikihusisha vifo vya wanyama. Kwa jina lingine tunaweza kuita KAFARA. Bwana alisogezewa wanyama kutoka katika makundi ya wanyama safi/ wasio najisi Kama ng’ombe, mbuzi na kondoo. Walichinjwa kama sadaka wakachomwa madhabahuni na damu kunyunyizwa ili kuleta upatanisho kwaajili ya dhambi za watoa dhabihu ..
Je Neno hili lipo Katika Biblia? Sakramenti kulingana na kanisa katoliki, sakramenti ni ishara ya wazi ionekanayo, ya neema isiyoonekana, iliyofanywa na Yesu Kristo mwenyewe, itumike kutuletea au kutuongezea neema mioyoni mwetu Yaani kwa lugha nyepesi ni ishara za nje zionekanazo zilizobeba neema ya wokovu, zilizofanywa kwanza na Bwana Yesu, ambazo tukizifanya na sisi zitatuongezea ..
Neno kiama au kiyama lina maana ya “Siku ya ufufuo” Neno hili kiyama linapatikana sehemu mbalimbali Katika Maaandiko, hivi ni baadhi ya vifungu Mathayo 22:23-28 [23] Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza, [24]wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao. ..
Katika swali hili tutatazama baadhi ya vipengele ambavyo vitatusaidia kuelewa ujumbe huu vizuri Majini Ni roho zilizoasi mbinguni, ambazo zilitupwa duniani au kwa jina lingine wanajulikana kama mapepo , ambao walitupwa pamoja na kiongozi wao rusifa (shetani), shetaniKabla hajaasi alikuwa malaika mzuri sana malaika kitengo cha sifa, lakini kwa kutaka kwake kuwa kama Mungu, ndiko ..
Shalom!, UTII kwa kiingereza Obedience. Ni kufuata amri, ombi, au sheria au uwasilishaji kwa mamlaka ya mtu mwingine. Au mamlaka ya juu zaidi na kuyafuata pasipo kujali ama kuangalia linakubaliana na maamuzi yako ama linakinzana na maamuzi ama mawazo yako. Lakini si kila jambo tunaloambiwa kutii tunafaa kulitii la! Hususani katika mambo yanayokinzana na imani ..