Category : Maswali ya Biblia

Kulingana na Mathayo 5:29, Je! viungo vyetu vikitukosesha tuvikate?

“Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe;” Tusome habari nzima; Mathayo 5:28 “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum. 30 Na ..

Read more

Sherehe yoyote ile, iwe ni  ya kuzaliwa, au ya mahafali, au ya ndoa, au ya kitaifa, biblia haijakataza kwa namna yoyote ile kusheherekewa. Isipokuwa sherehe za ulafu ndio zimekatazwa… Sherehe za ulafi ni sherehe, zinazoambatana na mambo kama ulevi, anasa, mashindani, uvaaji mbovu, matusi, mauaji, n.k. Kwamfano, Herode alipokuwa anasheherekea, sikukuu yake ya kuzaliwa, alimwalika ..

Read more

Swali: Je pale Bwana Yesu aliposema, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Alimaanisha tukawahubirie injili mijusi, na swala, na ngamia? Marko 16:15 “Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa”. JIBU: Bwana hakuwa na maana, kwamba tukawahubirie Wanyama hawa injili, hapana, kwasababu mnyama hawezi kuamini ..

Read more

SWALI: Biblia inasema tusikopeshe kwa riba, je! Wanaowakopesha watu kwa riba wanafanya dhambi? JIBU: Bwana ameruhusu kuchukua riba kutoka katika mikopo tuwapayo wenzetu kama moja ya namna ya kujipatia faida, lakini ameweka  mipaka yake. Siyo mipaka ya asilimia za riba za kuwatoza tuwapao mikopo, Hapana, Ila ni mipaka ya kwa nani haturuhusiwi kuchukua riba. Na ..

Read more

1 Wathesalonike 5:18 shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.  19 Msimzimishe Roho;  20 msitweze unabii; Neno kutweza maana yake ni ‘kupuuzia au kudharau’ jambo fulani. Hivyo hapo inaposema Msitweze unabii inamaanisha kuwa tusipuuzie unabii. Kumbuka Biblia ni kitabu cha kinabii, ambacho sio tu kinaeleza habari ya mambo ..

Read more