Category : Mwanamke

INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA. (Ujumbe kwa wanawake wote) Mathayo 7:13 “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.” Wapo wanawake wengi ambao wanapita kwenye mlango mpana lakini wanajiona kuwa wanapita kwenye mlango mwembamba…na walio kama hao ni wabishi ..

Read more

Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa. Zaburi 68:11 “Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;” Biblia inamwita mwanamke mwenye kutangaza habari njema kuwa ni “jeshi kubwa “ Nini biblia imeona kwa mwanamke hata kumfananisha na jeshi kubwa? Unajua unapozungumzia kuhusu jeshi kubwa una maana ya watu waliokuwa na mafunzo ya kujilinda na ..

Read more

HATARI YA KUVAA SURUALI KWA MWANAMKE Jina la Yesu Kristo Mfalme wa utukufu libarikiwe daima. Karibu tujifunze Biblia mwanga wa njia zetu. Mbali na kuwa vazi la suruali kwa mwanamke ni machukizo mbele za Mungu sawa sawa na kumbukumbu 22:5, Lakini leo nataka ufahamu hatari nyingine ya kuvaa suruali. Na hatari yenyewe ni kukaribisha maroho ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze  Neno la uzima. Somo hili ni maalumu kwa wanawake wote waliomwamini Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao(Wanaoukiri uchaji wa Mungu). Hivyo ikiwa wewe ni mwanamke ni muhimu sana ukasoma na kutafakari ujumbe huu na Yesu Kristo atasema na wewe kwa namna ..

Read more