Kuna tabia moja iliyooneshwa na mitume, Andrea na Filipo kwenye biblia ambayo na sisi kama wanafunzi wa Bwana Yesu hatuna budi kuwa nayo. Na tabii hii au kitu hicho kilichofanywa na hao mitume tunakisoma katika ..
Archives : June-2022
Maandiko yanasema kuwa, Bwana wetu Yesu Kristo kama Mwana-kondoo wa Mungu, alizichukua dhambi za dunia nzima kwa kufa kwake pale msalabani [kwa kuchinjwa pale masalabani] sasa, alizichukua vipi dhambi za watakatifu ambao walikufa kabla yake yeye? Mfano; Adamu, Hawa, Ibrahimu, Isaka, ..
Kwanza kabisa inabidi tufahamu kuwa, mapepo huwa wanayo tabia hiyo ya kulipuka na kumwangusha mtu chini pale mtu anapoombewa au pepo linapomtoka mtu huyo..
Maandiko yanamtaja Samweli kuwa, alishindwa kumtambua Mungu pale sauti yake ilipomwita kwa mara ya kwanza katika maisha yake, na sababu ya kushindwa biblia inaeleza kuwa..
Ni maneno yapi hayo ya unabii yaliyotangulia juu ya Timotheo ambayo mtume Paulo anayazungumzia katika waraka wake wa kwanza kwa..
Huduma ya Yohana mbatizaji ilikuwa ni kumwandalia Bwana watu kwaajiri ya ujio wake, ambapo kwa wakati ule watu wa Bwana walikuwa ni taifa ..