
SWALI: Naomba kufahamishwa maana ya huu mstari? Mithali 19: 4 “Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake” JIBU: Katika mstari huu mwandishi(Sulemani), halengi kwamba tuwe matajiri ili tuongeze marafiki wengi.. Hapana bali alikuwa anaeleza uhalisia ulivyo katika huu ulimwengu wa dhambi. Kwamba mali ndio imekuwa kiunganishi cha watu, tabia ambayo Kristo hana. ..