Archives : March-2024

Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe . Karibu mwana wa Mungu katika kujifunza Neno la Mungu Je makanda ni nini? Makanda ni kwa jina /neno jingine ni (KAPU). Ambacho hutumika kuweka au kubebea vitu tofauti tofauti sana sana vyakula au nafaka. Katika maandiko Neno hili unaweza ukakutana nalo katika vifungu kadha wa kadha, mfano ..

Read more

Neno hili novena chimbuko lake limetoka katika lugha ya kilatini linaandikwa “Novem” ikiwa na maana ya tisa(9).Na baadhi ya madhehebu mfano katoliki na Orthodox, wamelichukua neno hili na kulitumia katika aina fulani za sala ambazo ni mfufulizo Kwa kipindi cha siku tisa Na sala hizo huwa kwaajili ya kuomba jambo fulani au kushukuru kwa kipindi ..

Read more

Jibu: Tusome, Yodi ni neno lililotumika katika lugha ya Kiswahili cha zamani, lenye maana ya “herufi ndogo”.Kwa lugha ya kingereza ni small letter”.ndani ya sentensi yoyote kunakuwa na herufi kubwa na ndogo.. Zile ndogo huwa ndo Yodi…. Mfano mzuri tunaposema Yesu ni Mungu, Herufi kubwa hapo ni hiyo “Y” na “M” lakini hizo nyingine zote zilizosalia ..

Read more

Ebenezer/Ebeneza ni neno la Kiebrania lenye maana ya “Stone of Help” yaani JIWE LA Msaada. Neno hili tunalipata katika kitabu cha 1 Samweli 4:1. Sehemu ambayo walikutanika wana wa Israeli kwenda kupigana na majeshi ya Wafilisti. Na hata walipokutanika na kupanga vita Israeli walipokwenda kupigana na Wafilisti Israeli wengi yapata watu elfu nne walipigwa. 1 ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe! Dhamiri au Dhamira. Ni hisia za ndani kabisa zinazomsaidia Mtu kupambanua jema na baya. Na hii haitokani na kufundishwa lakini Mungu kakiweka ndani yetu. Dhamiri ni mfano wa mtu wa ndani ambae yeye anatusahihisha na kutushuhudia pale tunapotaka kufanya jambo lisilopaswa kama uovu nk. Hivyo wakati mwingine utakuta unakosa furaha au Amani ..

Read more

Kusaga meno ni kitendo cha kunga’ta meno kwa nguvu , kutokana na maumivu na uchungu fulani fulani..mtu aliyejikata na kisu au kujikwaa kwenye kidole utaona atang’ata meno kwa nguvu kutokana na maumuvi anayoyasikia au uchungu au hasira fulani (Soma Matendo 7:54). wakati mwingine mpaka kung’ata huku yanasuguana. Sasa kitendo hicho ndicho kinachoitwa kusaga meno. Katika ..

Read more

Huyu Azazeli ni Nani tunayemsoma katika walawi 16:8? Mambo ya Walawi 16:8[8]Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tukiangalia Kwa ufupi habari hii, katika Mambo ya walawi Sura ya 16, tunaona kwamba katika siku ya upatanisho wa Wana wa ..

Read more

Karibu tujifunze neno la Mungu wetu. Mjoli ni mfanyakazi mwenza, mfano Mwana kwaya akikutana na mwanakwaya mwenzake hapo ni sawa na kusema kakutana na mjoli mwenzake, vivyo hivyo Mwalimu akikutana na Mwalimu mwenzake hapo kakutana na mjoli wake, Mkulima akikutana na mkulima mwenzake hapo Mkulima ni sawa tu na kusema kakutana na mjoli wake. Hivyo ..

Read more

Neno hili I.N.R.I ni maneno ambayo katika baadhi ya picha nyingi za Bwana Yesu ambapo alikuwa msalaba, limeonekana neno hili, lakini ukisoma katika maandiko neno hilo huwezi kuliona Tusome Yohana 19 19 Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20 Basi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana ..

Read more