Archives : March-2024

Katika agano la kale dhabihu ni Aina ya sadaka zilizotolewa Kwa Bwana zikihusisha vifo vya wanyama. Kwa jina lingine tunaweza kuita KAFARA. Bwana alisogezewa wanyama kutoka katika makundi ya wanyama safi/ wasio najisi Kama ng’ombe, mbuzi na kondoo. Walichinjwa kama sadaka wakachomwa madhabahuni na damu kunyunyizwa ili kuleta upatanisho kwaajili ya dhambi za watoa dhabihu ..

Read more

Je Neno hili lipo Katika Biblia? Sakramenti kulingana na kanisa katoliki, sakramenti ni ishara ya wazi ionekanayo, ya neema isiyoonekana, iliyofanywa na Yesu Kristo mwenyewe, itumike kutuletea au kutuongezea neema mioyoni mwetu Yaani kwa lugha nyepesi ni ishara za nje zionekanazo zilizobeba neema ya wokovu,  zilizofanywa  kwanza na Bwana Yesu, ambazo tukizifanya na sisi zitatuongezea ..

Read more

Neno kiama au kiyama lina maana ya “Siku ya ufufuo” Neno hili kiyama linapatikana sehemu mbalimbali Katika Maaandiko, hivi ni baadhi ya vifungu Mathayo 22:23-28 [23] Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza, [24]wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao. ..

Read more

Neno kujuzu maana yake ni “kutoruhusiwa”. Tusome2Wakorintho 12:2 “ Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu 3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya ..

Read more

Hirimu ni nini sawa sawa na andiko la (wagalatia 1:14) Hirimu inamaanisha mtu aliye katika kundi la umri wako yaani rika lakoMfano tunaposema Yohana na Petro ni hirimu moja, tunamaanisha Petro na Yohana ni watu mwenye rika moja (umri mmoja) Lakini kibiblia neno hili hirimu linatafsirika kwa kina zaidi, maana mahali pengine linamaanisha kijana mdogo. ..

Read more

Katika swali hili tutatazama baadhi ya vipengele ambavyo vitatusaidia kuelewa ujumbe huu vizuri Majini Ni roho zilizoasi mbinguni, ambazo zilitupwa duniani au kwa jina lingine wanajulikana kama mapepo , ambao walitupwa pamoja na kiongozi wao rusifa (shetani), shetaniKabla hajaasi alikuwa malaika mzuri sana malaika kitengo cha sifa, lakini kwa kutaka kwake kuwa kama Mungu, ndiko ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Katika Agano jipya biblia imeandikwa kwa Lugha ya kiyunani yaani Kigiriki. Na kutafasiriwa kwa lugha mbali mbali!, Sasa katika Lugha Yetu ya Kiswahili Neno la Mungu linatajwa katika sehemu nyingi kama “NENO “. sehemu nyingi tunasoma utakua “Neno la Bwana likanijia/Neno la Bwana likamjia” Hivyo tunaliona katika sura ..

Read more

Shalom Bwana Bwana Yesu apewe sifa. Beelzebuli katika Agano la Kale alikuwa ni mungu wa Wafilisti(Philistine) kwa sasa inajulikana kama Palestina. Pale Mfalme Ahazia alipoanguka kutoka juu kule Samaria akaugua sana hivyo akatuma wajumbe waende wakamuulize kwa Beelzebuli mungu wa Ekroni kwamba je atapona ugonjwa huo. 2 Wafalme 1:[2]Na Ahazia akaanguka katika dirisha la chumba ..

Read more

“kujazi” katika maandiko linamaana ya “kulipa” linahusu kutoa au kutoa sadaka bila nia ya kuonekana mbele za watu. Mathayo 6:2 “Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu. 3 Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto ..

Read more