Archives : April-2024

Machukizo ni nini? Machukizo linatokana na neno chukizo,  ni hali inayokupelekea kujawa na hasira au chuki ndani yako, ndo mana kwa Mungu,kitu chochote kinachomfanya aipandishe ghadhabu yake,kitu hicho kinaitwa chukizo” Vitu vifuatavyo vinamtia Mungu Machukizo 1. Ibada ya Sanamu. Mfano wa kitu chochote chenye muundo wa sanamu kilikuwa ni machukizo makubwa kwa Mungu, ndicho kisababishi ..

Read more

Furaha ni hisia chanya ambayo mtu anakuwa nayo pale ambapo anakuwa amefanikisha mambo fulani kwa wakati alioutarajia au asioutarajia ni matokeo ambayo humfanya mtu kuridhishwa na yale au hali alionayo kimaisha . Kibiblia furaha ni moja wapo ya tunda la roho Mtakatifu ambapo mtu anapokuwa amepata kipawa cha roho Mtakatifu moja kwa moja mtu huyu ..

Read more

Neno Shehe limetokana na asili ya lugha ya kiarabu. Kama ambavyo tunafahamu asili ya lugha ya Kiswahili inatokana na kutoholewa kwa maneno ambayo asili yake ni kiarabu mfano wa maneno hayo ni salamu,sultani,sadaka,shukrani adhabu,adui,jehamu,dhamira damu,giza lawama,askari,roho,tufani,simba,msalaba,sheria,raisi,sultani,na uashratink.k hivyo theluthi ya lugha ya kiswahili ni kiarabu. Kwa kuwa waarabu waliishi hapo zamani katika nchi yetu na ..

Read more

Maandiko yanapozungumzia kuhusiana na fadhili za Mungu basi tufahamu ni zaidi ya zile fadhili ambazo tunaweza kuzifanya kwa kuonyeshana ukarimu na wema… Ndani ya biblia fadhili za Mungu ni neno pana sana na hatuwezi kusema tunalielezea kwa neno moja ili tupate maana kamili hata kwa Maneno machache,…Kwa lugha ya Kiebrania linaitwa Hesed”.. Fadhili za Mungu ..

Read more

Maana halisi ya jina shetani ni Mshitaki” au kwa lugha nyingine Mchongezi, na kazi yake kubwa ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu.. hiyo ni moja ya kazi yake kubwa anayoifanya shetani.. Maana nyingine ya jina shetani ni LUSIFA, ikimaanisha NYOTA YA ASUBUHI” (Isaya 14:12) hili lilikuwa jina lake kabla ajaasi, alivyoasi Mbinguni akawa shetani…. Kabla ajamwasi Mungu, ..

Read more

Shalom!, Kuungama ni kukiri/kukubali hadharani katika mkusanyiko wa waamini au baina ya watu wawili, mfano pale mtu anapoamua kuzikiri dhambi zake kwa Imani kwa kumuamini Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yake, Kwa kudhamiria kabisa kuacha dhambi na kuamini huyo anakuwa tayari amepata msamaha wa dhambi na uzima wa milele, Sasa jambo hilo ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu litukuzwe, nakukaribisha katika kujifunza Neno la Mungu litupalo uzima wa milele… Je saumu ina maanisha nini katika Biblia ? Saumu ni neno la kiaramu lenye maana ya KUJIZUIA, kujizuia kufanya jambo/kitu Fulani kwa ajili ya ibada, au kwa maana nyingine saumu inamaanisha mfungo. ndipo hapo utakuta mtu anaacha kula kwa kipindi ..

Read more

Jibu.. Dini ni kitendo cha kuamini imani fulani hasa mambo ya rohoni, Mtu anapoamini uwepo wa Mungu au vitu vyovyote visivyoonekana na kuanza kuviabudu kwa kuvifanyia ibada basi hapo ulazima wa dini kuumbika ni lazima…. ndipo hapo utaona utaratibu fulani au ustaarabu unaanza kutengenezwa na kufatwa, tukiangalia wanaoifata imani ya Buddha, wamejiwekea taratibu zao za ..

Read more

Mathayo 6:30 “Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?” Kalibu ni neno lililorudiwa na kutajwa Katika kitabu cha Luka 12:28,, na maana ya Neno hili ni TANURU LA MOTO…, Ni kawaida ya kila mmoja baada ya kusafisha mazingira huwa takataka tunatupa ..

Read more