Archives : June-2025

Bwana alimaanisha nini aliposema ”viuno vyenu viwe vimefungwa na taa zenu ziwe zinawaka? Jibu: Tusome Luka 12:35 “VIUNO VYENU NA VIWE VIMEFUNGWA NA TAA ZENU ZIWE ZINAWAKA. [36]nanyi iweni kama watu wanaomngojea bwana wao, atakaporudi kutoka arusini, ili atakapokuja na kubisha, wamfungulie mara. [37]Heri watumwa wale, ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesha. Amin, nawaambieni, atajifunga ..

Read more

Sifa kuu ya kanisa la Kristo Shalom: Jina la Bwana Yesu Kristo libarkiwe. Leo tutaangalia sifa kuu tano za kanisa la Kristo ambazo kanisa la Mungu liwapo mahali popote linapaswa liwe nazo. Hii ina maana kuwa kila unapoingia ndani ya kanisa la Kristo mahali popote ni lazima ukutane na sifa hizi tano vinginevyo hilo sio ..

Read more

NITAWALEMEA NINYI KAMA GARI LILEMEAVYO LILILOJAA MIGANDA Amosi 2:13 Tazameni, nitawalemea ninyi, Kama gari lilemeavyo lililojaa miganda. [14]Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake; [15]Wala apindaye upinde hatasimama; Wala aliye mwepesi wa miguu hataokoka; Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake; [16]Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia ..

Read more

Itengeneze tabia ya Mungu ndani yako. Shalom,  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. “Mwenye jukumu na wajibu wa kufanya tabia ya Mungu iwe ndani yako yaani uwe kama Mungu jinsi alivyo ni wewe” “Kupokea Roho Mtakatifu haimaanishi unayo tabia ya Mungu ndani yako,  kuwa na karama ikiwa ni ..

Read more

ITAFAKARI HEKIMA YA MUNGU KATIKA UUMBAJI WAKE. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Libarikiwe siku zote. Karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu. Na leo tutajifunza umuhimu wa kutafakari hekima ya Mungu ipatikanayo katika uumbaji wake. Hekima ni nini? Hekima ni Neno pana ambalo linajumuisha elimu au ujuzi/akili au uwezo wa kupambanua, kuhukumu, na kufanya maamuzi ..

Read more

Tujifunze kanuni za Mungu Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Ni muhimu kujua kanuni kadhaa za ndani ya biblia ambazo Mungu anataka tuzifuate ili tufanikiwe (kimwili na kiroho), Zipo kanuni nyingi katika biblia ambazo ..

Read more

JITENGE NA MKUTANO WA WATU WAOVU. Jina la Mkuu wa Uzima na Mkuu wa wafalme wa dunia, YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu Mungu wetu. Biblia inatufundisha kuwapenda watu wote, lakini si kuambatana na watu wote. 2Wakorintho  6:14  “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani KATI ..

Read more