Archives : September-2025

Usimpelekee Bwana mashitaka ya maadui zako. Moja ya jambo ambalo linamchukiza sana Mungu ni maombi ya kuwaombea wanadamu wenzetu mabaya, hili linamchukiza sana na linaleta adhabu kwetu badala ya mazuri. Maombi ya kuwashitaki ndugu zetu kama maadui ni maombi mabaya sana, hata kama ni kweli wametuumiza. Hebu fikiria wewe ulipokuwa unawangia watu, unaiba vitu vya ..

Read more

Usijigeuze na kuvaa mavazi mengine. Katika biblia tunamsoma mfalme mmoja wa Israeli ambaye alijigeuza na kuvaa mavazi mengine..na huyu si mwingine zaidi ya Sauli, na lengo la kufanya hivyo ilikuwa ni yeye asijulikane na kule anakokwenda kwa yule mwanamke mchawi. Tunasoma.. 1 Samweli 28:8 Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na ..

Read more

  Piga hatua Fikia katika kiwango hiki Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama mkristo kuna viwango ambavyo unapaswa kuvifikia viko viwango vya namna mbali mbali ambavyo unapaswa kuvifikia lakini kwa leo tutaangalia kiwango au hatua ambayo wewe kwako ni ya muhimu sana ..

Read more

SIMAMA KWA MIGUU YAKO. Ezekieli 2:1 “Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe. [2]Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami.” Upo umuhimu mkubwa wa wewe kusimama kwa miguu yako mwenyewe hasa katika zama hizi za uovu. Ninaposema kusimama mwenyewe kwa miguu yako..ninamaanisha kuwa na mahusiano yako binafsi na Mungu. Wapo ..

Read more

NA WANADAMU WAKAUNGUZWA MAUNGUZO MAKUBWA Ufunuo wa Yohana 16:8 “Na huyo wa nne akakimimina kitasa chake juu ya jua, nalo likapewa kuwaunguza wanadamu kwa moto. [9]Wanadamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu”.  Umewahi kuitafakari mwisho wa hii dunia itakuaje? Biblia imeweka ..

Read more

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na..! Shalom,  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. Sehemu ya 01. Katika kitabu cha Mathayo sura ya 13 Bwana Yesu alizungumza mifano saba 7 kuhusu siri za ufalme wa mbinguni umefanana na…. Lengo kuu Yesu Kristo alitaka tutafakari kwa kina hiyo mifano ili ..

Read more

Ni mapambo gani ambayo pepo mchafu likiona kwenye nyumba iliyofagiwa anaenda kuchukua pepo wengine saba na kuja kukaa ndani ya nyumba hiyo. Swali: Bwana YESU alisema pepo anapomtoka mtu na baadaye akirudi na kukuta nyumba yake imefagiliwa na kupambwa huenda kuchukua pepo wengine saba,.. maaana yake ni nini kusafishwa na kupambwa?.. je mapepo wanapenda sehemu ..

Read more

HATARI YA KUVAA SURUALI KWA MWANAMKE Jina la Yesu Kristo Mfalme wa utukufu libarikiwe daima. Karibu tujifunze Biblia mwanga wa njia zetu. Mbali na kuwa vazi la suruali kwa mwanamke ni machukizo mbele za Mungu sawa sawa na kumbukumbu 22:5, Lakini leo nataka ufahamu hatari nyingine ya kuvaa suruali. Na hatari yenyewe ni kukaribisha maroho ..

Read more