Archives : December-2025

YEYE AJAYE ANAKUJA UPESI Waebrania 10:37 “Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, YEYE AJAYE ATAKUJA, wala hatakawia”. Angalia muda unavyokimbia, angalia majira yanavyobadilika, angalia maasi yanavyoongezeka kwa kasi.. Je! yote haya unajua ni ishara ya nini?..Si ya kitu kingine bali ya YEYE AJAYE!!.. Ndio! Yupo mmoja anayekuja! na yupo karibu sana.. huyo sio mwingine zaidi ..

Read more

NENO LA MUNGU NI KIOO Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia.. Neno la Mungu wetu linafananishwa na vitu vingi katika biblia, kuna mahali linafananishwa na “Taa” (Zab.119:105)”, sehemu nyingine linafananishwa na Upanga wa roho (Waebrania 4:12, Waefeso 6:17)” Na kuna sehemu linafananishwa na “Kioo”. Na leo tutajifunza ni kwa namna gani ..

Read more

JIHADHARI NA DHAMBI YA UONGO. Shalom, karibu tujifunze biblia. Biblia inasema waongo wote hawataurithi ufalme wa Mungu, bali sehemu yao ni ziwa la moto kama ilivyo kwa wazinzi, wachukizao, waabuduo sanamu n.k Ufunuo wa Yohana 21:8 “Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, NA WAONGO WOTE, ..

Read more

UVUMILIVU WA MUNGU NI NAFASI YA KUOKOKA. Kuna watu wanasema mbona tangu enzi za mababu zetu tunasikia tu kuwa tunaishi katika siku za mwisho lakini ule mwisho mbona haufiki. Hakuna mwisho wa dunia ni habari za kutunga tu! Lakini biblia inasemaje? 2Petro 3:1 “Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha ..

Read more

  TAFUTA KUWEPO KATIKA UFUFUO WA KWANZA  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Biblia inasema ana heri mtu yule ambaye atakuwa na sehemu katika ufufuo wa kwanza, ikiwa na maana kuna ufufuo wa kwanza na ufufuo wa pili. Tunasoma.. Ufunuo wa Yohana 20:4 “Kisha nikaona viti vya enzi, ..

Read more

KUWA MAKINI TUNAPIMWA KATIKA MIZANI 2 Samweli 2:3 “Msizidi kunena kwa kutakabari hivyo; Majivuno yasitoke vinywani mwenu; Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa maarifa, NA MATENDO HUPIMWA NA YEYE KWA MIZANI”. Ndugu matendo yetu yanapimwa katika mizani kila siku yakilinganishwa na ya wengine kama sisi…kizazi chetu kinapimwa katika mizani kikilinganishwa na vizaza vilivyotangulia.. Mathayo 12:41 ..

Read more

TUONDOKEE HATUTAKI KUZIJUA NJIA ZAKO  Ayubu 21:14 “Walakini walimwambia Mungu. Tuondokee; Kwani hatutaki kuzijua njia zako. 15 Huyo Mwenyezi ni nani, hata tumtumikie? Nasi tutafaidiwa nini tukimwomba? Hayo ndio maneno ya watu wengi waliofanikiwa katika mambo ya duniani, wakamsahau Mungu aliyewaumba. Lakini biblia inasema.. Ayubu 21:16 “Tazama, kufanikiwa kwao hakumo mkononi mwao;..” Tena anasema.. “Maana ..

Read more

Huwezi kutoa kitu kisafi katika kitu kichafu. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe milele. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu. Kuna mambo ambayo bila kufuata kanuni fulani hatoweza kupata. Mfano mwanafunzi akitaka kufaulu mtihani hana budi kusoma kwa bidii sana hiyo ndio kanuni, lakini akiingia kwenye chumba cha mtihani, huku hajasoma kabisa ni wazi ..

Read more

JIFUNGE, KAVAE VIATU VYAKO. Matendo ya Mitume 12:7-9 “Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi. [8]Malaika akamwambia, JIFUNGE, KAVAE VIATU VYAKO. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate. [9]Akatoka nje, akamfuata; wala hakujua ya kuwa ni kweli yaliyofanywa na ..

Read more

NCHI YA GIZA KUU Shalom jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe daima. Je! unaifahamu ile nchi ya giza kuu. Biblia inatuambia ipo nchi ya giza kuu! Hebu tuangalie ni nchi ya namna gani hii. Ayubu 10:20-22 “Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate ngaa kutuzwa moyo kidogo. [21]Kabla sijaenda huko ambako sitarudi kutoka huko ..

Read more