Mbinguni kuna malaika wa kiume na kike?

Maswali ya Biblia No Comments

Bwana Yesu asifiwe karibu katika wasaa wa kujifunza neno la Mungu

Malaika hawana jinsia yeyote, japo kuna baadhi ya mafundisho inasemekana kuwa kuna malaika wa kike lakini jambo hili hakuna ukweli wowote, hata katika maandiko hakuna uthibitisho wa jambo hili

Lakini jambo hili la jinsia lilianza kwa wazazi wetu adam na hawa, hapa ndipo iljulikana kuwa yupo mwanamke na mwanaume, lakini wakati adam ameubwa kabla ya mwanamke kutokewa katika ubavu wake Adam alikuwa na viungo vyote yaani alikuwa na jinsia zote

Lakini baada ya hawa kutolewa katika ubavu wake, ndipo hapo akabaki na jinsia moja, kama mwanaume .

Na lengo kuu la Mungu kuweka viungo hivi vya uzazi kwa mwanauke na wanamke vilikuwa akuwa kwa lengo la kuijaza nchi kama Bwana alivyoagiza, kwa sababu hii inatupa jibu kabisa kuwa Malika hawana jinsia, bali walikwa kwa sababu kuwahudumia watakatifu na kumtukuza Mungu

Ubarikiwe

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *