Author : Rehema Jonathan

Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe, karibu tujifunze maneno ya uzima tusome Mathayo 9:2 [2]Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako. tunaona katika habari hii bwana Yesu anamwambia yule mgonjwa ajipe moyo mkuu hivyo hakumwita ..

Read more

Ni tunda lenye mbegu ndogondogo nyingi. Ni tunda linalotumika linawakulisha uzuri, ubora, mafaniko ya mtu au nchi. Tunaweza kujifunza zaidi kutoka katika maneno haya ya uzima. Kumbukumbu 8:6 “Nawe uzishike amri za Bwana, Mungu wako, upate kwenda katika njia zake, na kumcha. 7 Kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yuakuingiza katika nchi nzuri, nchi yenye vijito ..

Read more

Karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Maana ya kutahayari ni kuaibika yaani kufanya au kufanyiwa jambo au tendo ambalo mwishowe huwa ni aibu jambo hilo ni kama kutukanwa, n.k. Neno la Bwana linasema hivi 2Timotheo 2:15 “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia ..

Read more

Hori ni nini? Hori ni mahali palipotengwa kwa ajili ya ng’ ombe kulia chakula. Maneno haya tunasoma katika maandiko haya ya Mungu ili tupate maana zaidi. Luka 2:7 “akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni”. Pia maana nyingine ya hori ..

Read more

Maana halisi ya konzi Ni kipimo chenye ujazo wa kukaa mkono mmoja wa mwanadamu. Tujifunze zaidi katika maandiko haya yaliyo ainishwa hapa sawa sawa na maandiko ya Bwana yanavyosema. Mithali 30:4 “Ni nani aliyepanda mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo kwa makonzi yake? Ni nani aliyeyafunga maji ndani ya nguo yake? Ni nani ..

Read more

Vitimvi ni nini kama ilivyotumika katika biblia? Ni mipango inayopangwa na kikundi cha watu kwa lengo la kuvurugwa, kuharibu, au kutenda ubaya kwa mtu au watu ili kuitimiza mikakati na makusudi waliyonayo juu ya huyo mtu. Baadhi ya watu hukutana ili kufanya ubaya kwa mtu kwa lengo la kudhulumu mali alizonazo, kulipiza kisasi kwa ubaya ..

Read more

Ni sehemu ya mwisho iliyo katika mkono wa mwanadamu inayotumika kusaidia kushika au kubeba vitu au kitu. Au Ni sehemu ya mwisho mkononi iliyounganika na kuacha za mwanadamu au mnyama. Hebu tujifunze katika maneno ya Mungu ili tupate maana iliyo Bora zaidi. Danieli 5:24-25 [24]Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na ..

Read more

Fumbi ni kijito kibibujikacho maji yatokayo katika chemchemi iliyo katika hiyo chamchela.Pia kijito cha Maji ni Mungu mwenyewe kama alivyosema kuwa yeye mti pia ni maji ya uzima yawezayo kukata kitu ya kutenda maovu na maasi mbele za Muumba wetu. Hivyo unaweza kushuhudia kuwa kabla ya kuokoka mtu alikuwa mlevi au mvutaji wa sigara lakini ..

Read more

Chamchela ni upepo mkali unaovuma kwa Kasi kiasi cha kupeperusha na kuzoa kila kitu kwa muda mfupi yaani kisulisuli. Tunaweza tukajifunza zaidi na kupata maana iliyo Bora zaidi katika neno la Mungu ambalo ni hili. Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipepeiliyorusha kama chamchela, Iliyo mibichi na  moto. ” Isaya 29:5 ..

Read more

Marijani Ni vitu vya rangi ya samawi, au ni vitu vya thamani vilivyokuwepo katika ufalme wa Israeli. Tusome maandiko ili tujifunze zaidi. Ayubu 28:17 “Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi. 18 Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani”. Maombolezo 4:7 “Wakuu wake walikuwa ..

Read more