Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Kuhusu jibu la sifa na LAMI ni Nini kama inavyotumika katika Kutoka 2:3, turejee Kutoka 2:3 “Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akampatia kisafina cha manyasi akakipaka SIFA NA LAMI, akamtia mtoto ndani yake, akakiweka katika majani kando ya mto” Sifa ni aina ya nta inayopatikana au kuzalishwa ..
Author : Rehema Jonathan
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: nani aliyeandika kitabu Cha Mithali? Jibu: “.. SULEMANI, MWANA WA DAUDI..” Maneno haya tunayapata Mwanzo kabisa wa kitabu hiki, Mwandishi akijitaja mwenyewe kuwa ni Sulemani Soma.. Mithali 1:1 “Mithali za SULEMANI, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu” Neno ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe. Karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Tusome.. Mambo ya Walawi 21:16-24; [16]Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, [17]Nena na Haruni, umwambie, Mtu awaye yote wa kizazi chako wewe katika vizazi vyao, aliye na kilema, asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake. [18]Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na ..
Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe sana. Ukisoma kitabu cha Mithali 26:2 ili maanisha nini? “Kama SHOMORO katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.” Jibu: Laana zisizo na sababu Mungu anazifananisha na Shomoro au ndege wanao Tanga-tanga angani. Jamii mbalimbali za ndege huonekana angani kila siku ..
Shalom, tusome pamoja katika kitabu cha Isaya 54:16 Isaya 54:16 “Tazama, nimemwumba MHUNZI avukutaye moto wa makaa, akatoa silaha kwa kazi yake; nami nimemwumba mharibu ili aharibu” Mhunzi au wahunzi wanaozungumziwa hapa ni wanaofua vyuma, fedha, shaba, au Dhahabu. Ikimaanisha wanaviyeyusha vyuma au madini husika katika maumbo mbalimbali kutengeneza silaha au Urembo. Sasa utofauti kati ..
Bwana Wetu Yesu Kristo na Asifiwe. tusome.. Mwanzo 36:15 “Hawa ndio MAJUMBE wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; JUMBE Temani, JUMBE Omari, JUMBE Sefo, JUMBE Kenazi, 16 JUMBE Kora, JUMBE Gatamu, jumbe Amaleki. Hao ndio MAJUMBE, waliotoka kwa Elifazi katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Ada”. JUMBE ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: tunajifunza habari ya WAKRETE kwamba walikuwa ni WAONGO, na walishuhudiwa na nabii wao! JE? Walidanganya Nini na ni nani basi huyo nabii wao? Jibu: WAKRETE ni Jamii ya watu wanaoishi katika visiwa vya krete huko Ugiriki. Mtume Paulo anaandika waraka kwa Tito dhidi ya kanisa na ..
Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe sana. Habari hizi utazipata katika ule utabiri wa Yakobo juu ya watoto wake, alipokuwa akiwabariki, tunaona anapofikia kwa Dani anasema Dani yeye atakuwa BAFE. Sasa JE? Ni nani huyo BAFE? Turejee.. Mwanzo 49:17″ Dani atakuwa nyoka barabarani, BAFE katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Hata apandaye ataanguka chali. 18 ..
Kumbukumbu 28:22 “Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa UKAUFU, na kwa KOGA; navyo vitakufukuza hata uangamie” Swali: kutokana na Andiko hilo Je! Ukaufu ni Nini? Na koga ni Nini? Ukaufu ni ugonjwa wa mazao unaotokana na fangasi,na kuleta utandu. Linapopata ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana Yesu Kristo. SAKITU ama kwa lugha ya kiingereza “Frost”. Ni barafu iangukayo kutoka juu ifunikayo uso wa ardhi, mimea n.k hasa katika nchi au maeneo yenye baridi Kali. tusome..Ayubu 38: 29 “Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na SAKITU YA MBINGUNI ni nani aliyeizaa? 30 Maji hugandamana kama jiwe, ..