Author : Rehema Jonathan

Jambo hili tunaliona katika kitabu cha zekaria 3:2 Yoshua akiambiwa Yeye ni kinga kilicho tolewa motoni, hiyo kinga ilikuwa ni kitu gani? Kinga ni kama kijiti, kwahiyo tunaposema kinga Cha moto, inamaanisha kijiti Cha moto, na habari hii tunaipata Kwa Yoshua aliyekuwa kuhani mkuu wakati pale alipokuwa amesimama mbele za Mungu tunaona wakati huo na ..

Read more

Huyu Azazeli ni Nani tunayemsoma katika walawi 16:8? Mambo ya Walawi 16:8[8]Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tukiangalia Kwa ufupi habari hii, katika Mambo ya walawi Sura ya 16, tunaona kwamba katika siku ya upatanisho wa Wana wa ..

Read more

Karibu tujifunze neno la Mungu wetu. Mjoli ni mfanyakazi mwenza, mfano Mwana kwaya akikutana na mwanakwaya mwenzake hapo ni sawa na kusema kakutana na mjoli mwenzake, vivyo hivyo Mwalimu akikutana na Mwalimu mwenzake hapo kakutana na mjoli wake, Mkulima akikutana na mkulima mwenzake hapo Mkulima ni sawa tu na kusema kakutana na mjoli wake. Hivyo ..

Read more

Neno hili I.N.R.I ni maneno ambayo katika baadhi ya picha nyingi za Bwana Yesu ambapo alikuwa msalaba, limeonekana neno hili, lakini ukisoma katika maandiko neno hilo huwezi kuliona Tusome Yohana 19 19 Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20 Basi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana ..

Read more

MASUKE NI NINI? Masuke ni ile sehemu ya nafaka inayotoa ua na mbegu ndani yake, Kwamfano Ngano suke lake linachipuka kwa pale juu, na nafaka kama mahindi suke lake ndio lile linalochipukia hindi lenyewe. Lakini nafaka yote sio suke, wala hindi lote sio suke, bali ile sehemu inayotoa mbegu au ua au tunda ndio inaitwa ..

Read more

Je nyuni ni nini kama tusomavyo katika maandiko Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Zaburi 102:5 “Kwa ajili ya sauti ya kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. 6 Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni”. Sefania 2:14 “Na makundi ya wanyama ..

Read more