Category : Dhambi

USIUIGE UBAYA 3Yohana 1:11 “Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. Kama wana wa Mungu hatupaswi kuiga mambo mabaya kwa watu wa kidunia. Hutupaswi kuiga uvaaji mbaya, mitindo ya kidunia, anasa, ulevi, uasherati, uhuni, na kanuni za ulimwengu huu. Warumi 12:1″Basi, ndugu zangu, nawasihi, ..

Read more

JIHADHARI NA DHAMBI YA UONGO. Shalom, karibu tujifunze biblia. Biblia inasema waongo wote hawataurithi ufalme wa Mungu, bali sehemu yao ni ziwa la moto kama ilivyo kwa wazinzi, wachukizao, waabuduo sanamu n.k Ufunuo wa Yohana 21:8 “Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, NA WAONGO WOTE, ..

Read more

LAKINI SASA YAWEKENI MBALI NANYI HAYA YOTE. Wakolosai 3: 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. [9]Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; Biblia imetuhasa tuweke mbali mambo hayo yote yaliyotajwa hapo juu; yaani hasira, ghadhabu, uovu, ..

Read more

Je mzizi wa dhambi umekatwa ndani yako? Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, Karibu tujifunze habari njema za uzima wa roho zetu. Mzizi maana yake ni chanzo cha kuwepo kwa kitu fulani au jambo Fulani, au tatizo fulani. Kwa mfano, ili mti uweze kustawi vizuri na kuzaa matunda ni lazima kuwe na mizizi inayoenda ..

Read more

DHAMBI YA KUTOLIPA MADENI INAVYOWEZA KUMPELEKA MTU MOTONI  Kumekuwa na tabia ya wana wa Mungu wengi kukopa pasipo kulipa madeni wanayodaiwa, wengine hudhani ya kwamba wanapotubu tu Mungu anawasamehe madeni ya watu, HAPANA huko ni kujidanganya na kukosa maarifa, mtu anapotubu Mungu anamsamehe yale madeni anayodaiwa na Mungu mwenyewe tu nayo ni madeni ya dhambi ..

Read more

IKIMBIENI ZINAA Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. Neno la Mungu linatuelekeza TUKIMBIE ZINAA na wala sio tukemee au tuiombee, maana yake kabla ya kuomba na kuombewa kwa habari ya maroho ya zinaa, ni sisi kwanza ..

Read more

JITENGE NA MKUTANO WA WATU WAOVU. Jina la Mkuu wa Uzima na Mkuu wa wafalme wa dunia, YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu Mungu wetu. Biblia inatufundisha kuwapenda watu wote, lakini si kuambatana na watu wote. 2Wakorintho  6:14  “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani KATI ..

Read more

Fahamu jambo moja ambalo Bwana anataka tu kwako? Ikiwa unafikiria kumrudia muumba wako, na unashindwa pa kuanzia. Yamkini unawaza kwamba umetenda dhambi nyingi sana, kiasi kwamba unahisi tayari umeshamkufuru Mungu, na unaona hata ukimrudia hautasamehewa kwa wingi wa dhambi ulizozifanya. Basi leo Bwana anasema nawe kwa neno hili.. Yeremia 3:13 “Ungama uovu wako tu; ya ..

Read more