Category : Maswali ya Biblia

Marijani Ni vitu vya rangi ya samawi, au ni vitu vya thamani vilivyokuwepo katika ufalme wa Israeli. Tusome maandiko ili tujifunze zaidi. Ayubu 28:17 “Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi. 18 Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani”. Maombolezo 4:7 “Wakuu wake walikuwa ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe nakusalimu kupitia Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno hili Maavya ni neno au tunaweza kusema kwa lugha nyepesi kuwa ni cheo cha mtu, mfano mama, baba, mjomba nk.. kwahiyo maana halisi ya neno hili limaanisha ” mama mkwe” Neno hili tunalipata katika kitabu cha Mika 7:6 “Kwa maana ..

Read more

Tusome 1 Mambo ya Nyakati 9:1 [1]Hivyo Israeli wote walihesabiwa kwa nasaba; na tazama, hizo zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli; na Yuda wakachukuliwa mateka mpaka Babeli, kwa sababu ya makosa yao. Nasaba maana yake ni orodha au mfufulizo wa majina ya watu, ambayo yanakuwa yamejumuisha orodha ya watu watu wote walio katika ukoo ..

Read more

Jabari ni mtu shujaa asiyeshindwa na jambo lolote pia ni mtu anayejiamini kwa asilimia kubwa sana katika kila alifanyalo na ni mtu hodari sana katika jambo hilo jema au baya alifanyalo. Tusome maandiko ili tupate kujifunza zaidi. Isaya 49:24 “Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka? 25 Naam, Bwana ..

Read more

Neno hili linamaanisha kuwa ni Hali ya vitu kutokukaa katika mpangilio mzuri ambao haudhihirishi muonekano sahihi wa vitu au jambo. Turejee maandiko kama yalivyoelezewa na Bwana wetu Yesu Kristo ili tupate umeelewa zaidi utakaotupatia maana sahihi ya Neno hili Isaya 17:13 “Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi; Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana, Watafukuzwa ..

Read more

Neno hili linamaanisha kuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu katika asili ya udongo na baada ya kupuliziwa pumzi ya Bwana akaweza kutolewa mwanadamu wa kwanza mwenye uhai na ndiye huyu aitwaye Adamu. Tukiangalia maandiko ya Bwana wetu Yesu Kristo maneno yake ya uzima yanasema hivi. Mwanzo 2:7 “Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ..

Read more

Jina la mwokozi litukuzwe karibu katika kujifunza Hapo aliposema fimbo ya udhalimu haitakaa juu ya fungu la mwenye haki Turejee Zaburi 125:2-3 [2]Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. [3]Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye ..

Read more