Category : Maswali ya Biblia

Yeremia 17:9[9]Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Neno kufisha ni kitendo cha kusababisha kitu kiweze kufa, au kupoteza uhai wake.. Na hapo Maaandiko yanaposema moyo una ugonjwa wa kufisha, ina maana kuwa una ugonjwa wa kupelekea mauti, ni ugonjwa usiponyeka.. hi ikionyesha moyo una udanganyifu mbaya sana, moyo ..

Read more

JIBU… Tukianza na maana tunayoifahamu..Kima ambaye ni mnyama jamii ya nyani, ila biblia imeelezea kwa utofauti kidogo.. Na maana halisi ya Neno kima kwenye biblia ni ni thamani ya kitu Katika Pesa, kwa mfano mzuri tunaweza kusema kima cha mchele ni 2000 ,ni kusema thamani ya mchele ni 2000 Na tunalipata hapa… Mithali 31:10[10]Mke mwema, ..

Read more

JIBU.. Tusome ili tupate kuelewa.. Mathayo 22:8-12[8]Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili. [9]Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini. [10]Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni. [11]Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu ..

Read more

Kulingana na vifungu hivi biblia imetaja neno hili Mithali 20:13 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo. Mithali 20:19 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Basi, usishirikiane naye afunuaye midomo yake sana”. Neno hili kitango linamaanisha Mtu “MMBEA”, mtu ambaye yuko tayari kusema  kila kitu anachosikia au kuona kutoka kwa wengine. ..

Read more

Neno injili limetoka na neno la kigiriki euaggelion lenye maana ya “HABARI NJEMA” Kwahiyo maana kuu ya Injili kibiblia ni Habari njema za Yesu Kristo neno la Mungu linasema Luka 2:8 “Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. 9 Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa ..

Read more

Tusome… Mithali 18:18 Kura hukomesha mashindano;  Hukata maneno ya wakuu. Upigaji wa kura ni njia iliyotumika kuleta suluhisho la jambo fulani, lililo hata Katika utata, ni njia pia iliyoweza kuchagua, viongozi, wamiliki na wenye mamlaka..  Wakati mwingine njia hii pia Mungu anairidhia ili kuleta majibu sahihi kulingana na jambo husika, ndo mana tukiangalia mfano wa ..

Read more

Tusome… Wimbo 8:6 “Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni MIALI YA YAHU”. Neno YAHU lina maana zaidi ya moja,ni jina lingine la YAHWE” ambalo ndilo “YEHOVA Kutoka ..

Read more