Category : Maswali ya Biblia

Ukiwa kama mwamini mambo kama haya huna budi kujifunza na kuelewa ili yazidi kukuimarisha na kukujenga kiroho… Tukirudi kwenye swali letu linalosema Yesu alizaliwa wapi..Bwana Wetu Yesu Kristo alizaliwa katika Nchi/Taifa la ISRAELI, lililopo mashariki ya kati. Na mji aliozaliwa ni Bethlehemu ambao ulikuwa katika urithi wa kabila la YUDA… Mika 5:2 “Bali wewe, Bethlehemu ..

Read more

Liwali ni mkuu wa mji au jimbo fulani au Kwa maana nyingine anajulikana kama Gavana Mfano Katika biblia tunamsoma Yusufu, farao alimfanya kuwa liwali katika nchi yote ya Misri Mwanzo 42:6 6 Naye Yusufu alikuwa ni liwali juu ya nchi, ndiye aliyewauzia watu wote wa nchi. Nao ndugu zake Yusufu wakaja, wakainama kifudifudi mbele yake. ..

Read more

JIBU..  Pentekoste ni Neno la kigiriki lenye maana YA HAMSINI, ilikuwa ni desturi ya wayahudi kusheherekea siku ya hamisini baada ya pasaka na waliagizwa na Mungu wewe wanafanya hivyo, ijapokuwa kwao walikuwa hawaiiti Pentekoste bali waiita ni SIKU KUU YA MAJUMA… Na hii ilitokea baada ya Mungu kuwaambia wahesabu majuma 7 ,yani sabato 7 kila ..

Read more

Makuruhi ni neno lenye  maana ya “kuchukiza kulikopitiliza” ,ni kama kumkosea mtu sana.., mfano tuseme mabeberu ni makuruhi kwa watu wa Africa, akimaanisha mabeberu ni watu wanaochukiza sana africa, watu wa africa hawawapendi kabisa mabeberu, kwasababu ukiangalia Katika historia ni watu waliowatesa sana na kuwaonea na kufikia hatua ya kuwafanya watumwa… Neno hili tunalipata hapa, ..

Read more

Wakili kibiblia ni mtu aliyepewa jukumu la kusimamia nyumba, au kaya ya mtu mwingine, na hii inajumuisha usimamizi wa kifamilia na si hapo tu huenda hadi katika mali alizo nazo Bwana wake. Jambo hili tunaweza kuliona katika kitabu cha mwanzo15:2, pale ambapo Eliezeri alipokuwa wakili wa Ibrahimu kwa kuwa mwangalizi wa mali za Ibrahimu tusome ..

Read more

Machukizo ni nini? Machukizo linatokana na neno chukizo,  ni hali inayokupelekea kujawa na hasira au chuki ndani yako, ndo mana kwa Mungu,kitu chochote kinachomfanya aipandishe ghadhabu yake,kitu hicho kinaitwa chukizo” Vitu vifuatavyo vinamtia Mungu Machukizo 1. Ibada ya Sanamu. Mfano wa kitu chochote chenye muundo wa sanamu kilikuwa ni machukizo makubwa kwa Mungu, ndicho kisababishi ..

Read more

Furaha ni hisia chanya ambayo mtu anakuwa nayo pale ambapo anakuwa amefanikisha mambo fulani kwa wakati alioutarajia au asioutarajia ni matokeo ambayo humfanya mtu kuridhishwa na yale au hali alionayo kimaisha . Kibiblia furaha ni moja wapo ya tunda la roho Mtakatifu ambapo mtu anapokuwa amepata kipawa cha roho Mtakatifu moja kwa moja mtu huyu ..

Read more

Neno Shehe limetokana na asili ya lugha ya kiarabu. Kama ambavyo tunafahamu asili ya lugha ya Kiswahili inatokana na kutoholewa kwa maneno ambayo asili yake ni kiarabu mfano wa maneno hayo ni salamu,sultani,sadaka,shukrani adhabu,adui,jehamu,dhamira damu,giza lawama,askari,roho,tufani,simba,msalaba,sheria,raisi,sultani,na uashratink.k hivyo theluthi ya lugha ya kiswahili ni kiarabu. Kwa kuwa waarabu waliishi hapo zamani katika nchi yetu na ..

Read more

Maandiko yanapozungumzia kuhusiana na fadhili za Mungu basi tufahamu ni zaidi ya zile fadhili ambazo tunaweza kuzifanya kwa kuonyeshana ukarimu na wema… Ndani ya biblia fadhili za Mungu ni neno pana sana na hatuwezi kusema tunalielezea kwa neno moja ili tupate maana kamili hata kwa Maneno machache,…Kwa lugha ya Kiebrania linaitwa Hesed”.. Fadhili za Mungu ..

Read more