Category : Maswali ya Biblia

Neno Mtima”ni neno linalowakilisha aidha “nafsi ya mtu” au “roho ya mtu” Kwa mtu anayeugua rohoni ni sawa na kusema “anaugua katika mtima wake”.. mtu aliyeumizwa nafsini mwake ni sawa na kusema “kaumizwa katika mtima wake”.. hivyo mtima ni neno linalowakailisha Roho au nafsi ya mtu.. Neno hili Mtima limeonekana sehemu mbalimbali Katika Maaandiko… Ayubu 19:27 “Nami ..

Read more

Shalom!, Bwana Yesu asifiwe. Wasamaria kama tunavyosoma katika Biblia hawa walikuwa ni watu kutoka samaria kaskazini Mwa mji wa Yerusalemu. Baada ya ya Israeli wote kupelekwa Ashuru utumwani nchi ya Israeli ilibakia tupu bila mtu yoyote. Mfalme wa Ashuru wa Ashuru aliwachukua watu wengine(Wasamaria/wageni) ili kwenda kuikalia nchi ile ili isiwe poli. Sasa hawa wasamaria ..

Read more

Shalom!. Mwandamo wa mwezi(mwezi mpya) kijiografia katika kipindi hiki mwezi unakuwa katikati ya Dunia na Jua. Nusu ya mwezi inakuwa haipati mwanga wa jua. Sasa katika Agano la Kale mwezi mpya unapoanza yaani siku ya kwanza ya mwezi kwa Wayahudi ilikuwa ni siku Takatifu ambayo Bwana aliagiza hivyo kwa wana wa Israeli na kuna mambo ..

Read more

Nyamafu ni mnyama aliekufa bila kuchinjwa au aliekufa kwa kularuliwa na mnyama mwingine(kama simba kumlarua nyati.) Yaani kitu chochote Chenye uhai kilichokufa kibudu bila kuchinjwa. Katika Agano la Kale Mungu aliwakataza wana wa Israeli kula nyamafu, yaani wasile mnyama wana aina yoyote aliekufa bila kuchinjwa maana wakifanya hivyo watajitia unajisi mbele za Mungu. Walawi 17: ..

Read more

Jina la Bwana libarikiwe.Karibu tujifunze neno la Mungu Neno mganda utakutana nalo sehemu kadha wa kadha katika biblia. Tusome..Walawi 23:10Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtakapokuwa mmekwisha ingia hiyo nchi niwapayo, na kuyavuna mavuno yake, ndipo mtakapomletea kuhani mganda wa malimbuko ya mavuno yenu; [11] naye atautikisa mganda mbele za Bwana ili kwamba ukubaliwe ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze neno la Mungu. Maana ya neno Adamu ni “wa udongo” (kwa kiebrania) yaani mtu aliyetokana na udongo. Kama ni msomaji mzuri wa biblia utakumbuka mwanadamu wa kwanza kuumbwa alipewa jina na Mungu mwenyewe na jina ilo ndiyo Adamu. Mungu alimwita jina Adamu kutokana na asili ya alipotolewa, yaani mavumbini/ardhini. Tusome..Mwanzo 2:7 Bwana ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe,Karibu katika kujifunza maneno ya uzima Gombo ni aina ya vitabu ambavyo vipo katika namna ya kuviringishwa, kwa lugha ya kiingereza vinatambulika kama “Scrolls” Aina ya hii ya vitabu ilitumika sana katika karne za nyuma na vilikuwa ni vitabu vya aina ya ngozi. Lakini kwa wakati wetu wa sasa havitumiki tena ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe . Karibu mwana wa Mungu katika kujifunza Neno la Mungu Je makanda ni nini? Makanda ni kwa jina /neno jingine ni (KAPU). Ambacho hutumika kuweka au kubebea vitu tofauti tofauti sana sana vyakula au nafaka. Katika maandiko Neno hili unaweza ukakutana nalo katika vifungu kadha wa kadha, mfano ..

Read more

Neno hili novena chimbuko lake limetoka katika lugha ya kilatini linaandikwa “Novem” ikiwa na maana ya tisa(9).Na baadhi ya madhehebu mfano katoliki na Orthodox, wamelichukua neno hili na kulitumia katika aina fulani za sala ambazo ni mfufulizo Kwa kipindi cha siku tisa Na sala hizo huwa kwaajili ya kuomba jambo fulani au kushukuru kwa kipindi ..

Read more

Ebenezer/Ebeneza ni neno la Kiebrania lenye maana ya “Stone of Help” yaani JIWE LA Msaada. Neno hili tunalipata katika kitabu cha 1 Samweli 4:1. Sehemu ambayo walikutanika wana wa Israeli kwenda kupigana na majeshi ya Wafilisti. Na hata walipokutanika na kupanga vita Israeli walipokwenda kupigana na Wafilisti Israeli wengi yapata watu elfu nne walipigwa. 1 ..

Read more