Category : Maswali ya Biblia

Bwana Yesu asifiwe! Dhamiri au Dhamira. Ni hisia za ndani kabisa zinazomsaidia Mtu kupambanua jema na baya. Na hii haitokani na kufundishwa lakini Mungu kakiweka ndani yetu. Dhamiri ni mfano wa mtu wa ndani ambae yeye anatusahihisha na kutushuhudia pale tunapotaka kufanya jambo lisilopaswa kama uovu nk. Hivyo wakati mwingine utakuta unakosa furaha au Amani ..

Read more

Kusaga meno ni kitendo cha kunga’ta meno kwa nguvu , kutokana na maumivu na uchungu fulani fulani..mtu aliyejikata na kisu au kujikwaa kwenye kidole utaona atang’ata meno kwa nguvu kutokana na maumuvi anayoyasikia au uchungu au hasira fulani (Soma Matendo 7:54). wakati mwingine mpaka kung’ata huku yanasuguana. Sasa kitendo hicho ndicho kinachoitwa kusaga meno. Katika ..

Read more

Huyu Azazeli ni Nani tunayemsoma katika walawi 16:8? Mambo ya Walawi 16:8[8]Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tukiangalia Kwa ufupi habari hii, katika Mambo ya walawi Sura ya 16, tunaona kwamba katika siku ya upatanisho wa Wana wa ..

Read more

Karibu tujifunze neno la Mungu wetu. Mjoli ni mfanyakazi mwenza, mfano Mwana kwaya akikutana na mwanakwaya mwenzake hapo ni sawa na kusema kakutana na mjoli mwenzake, vivyo hivyo Mwalimu akikutana na Mwalimu mwenzake hapo kakutana na mjoli wake, Mkulima akikutana na mkulima mwenzake hapo Mkulima ni sawa tu na kusema kakutana na mjoli wake. Hivyo ..

Read more

Neno hili I.N.R.I ni maneno ambayo katika baadhi ya picha nyingi za Bwana Yesu ambapo alikuwa msalaba, limeonekana neno hili, lakini ukisoma katika maandiko neno hilo huwezi kuliona Tusome Yohana 19 19 Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20 Basi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana ..

Read more

MASUKE NI NINI? Masuke ni ile sehemu ya nafaka inayotoa ua na mbegu ndani yake, Kwamfano Ngano suke lake linachipuka kwa pale juu, na nafaka kama mahindi suke lake ndio lile linalochipukia hindi lenyewe. Lakini nafaka yote sio suke, wala hindi lote sio suke, bali ile sehemu inayotoa mbegu au ua au tunda ndio inaitwa ..

Read more

Je nyuni ni nini kama tusomavyo katika maandiko Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Zaburi 102:5 “Kwa ajili ya sauti ya kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. 6 Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni”. Sefania 2:14 “Na makundi ya wanyama ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe karibu katika kujifunza maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu kristo . Katika biblia takatifu yapo maneno ambayo tunakutana nayo wakati tunasoma maandiko na tunakuwa hatufahamu maana ya maneno hayoTutaangalia moja ya neno nalo ni MBARI. Je neno mbari linamaanisha nini ? Mara nyingi Neno hili linatajwa katika biblia, ..

Read more

Huyu Azazeli ni Nani tunayemsoma katika walawi 16:8? Mambo ya Walawi 16:8[8]Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tukiangalia Kwa ufupi habari hii, katika Mambo ya walawi Sura ya 16, tunaona kwamba katika siku ya upatanisho wa Wana wa ..

Read more